FT: Jwaneng Galaxy 0 Simba SC 2

FT: Jwaneng Galaxy 0 Simba SC 2

Mh. Rais unaowaona ndio wawakilishi wa nchi katika klabu bingwa Afrika

65CD7462-6282-4878-8B78-6F67327F851A.jpeg
 
Mbona leo Mods hawaandiki magoli kwenye ubao wa matokeo
 
That simba was suicide squad bro

Haikuwa timu inayoridhika na matokeo kabisa hasa akikutana na mpinzani alie na soft team
 
Kushinda.....tena Away sio kitu Kidogo, Kongole Simba...!
Sasa nyie Utopolo Bakini na Msukule Wenu ukijitahidi kuwaanisha kuwa mna Timu nzuri Wakati mmetolewa Mzunguko Wa Awali CL Afrika.
 
Back
Top Bottom