FT: Jwaneng Galaxy 0 Simba SC 2

FT: Jwaneng Galaxy 0 Simba SC 2

Dhamana ya kuombea mkopo imetoka rasmi, huitaji kwenda serikali ya mtaa wala kuapa mahakamani just a single clip below
 
Hii timu mara ya mwisho kucheza ligi ni mwezi March 2020, na inamfanya simba kustruggle hivi

Aisee Andaeni lawama huko mbele kwa hii timu yenu
Kwan yenu mara ya mwisho lini. Na iko wap now. ZEZETA WW
 
Naiyona tofauti Kati ya Simba na Yanga! Simba ni timu kubwa inaongoza goli mbili lakini huoni wakipoteza muda kujiangusha na kujilaza bila sababu,Ila wangekuwa manyani.mpira ungekuwa umeahapoteza Radha yake.
 
Kwa kiwango hiki cha Makolo mwaka huu watapigwa na Yanga mara nne, 1.Ligi Mara mbili
2. FA
3. Mapinduzi
 
Back
Top Bottom