FT: Jwaneng Galaxy 0 Simba SC 2

FT: Jwaneng Galaxy 0 Simba SC 2

Hii timu mara ya mwisho kucheza ligi ni mwezi March 2020, na inamfanya simba kustruggle hivi

Aisee Andaeni lawama huko mbele kwa hii timu yenu
 
HT aliyeweka No g au Under 1kipindi cha kwanza imeisha hiyooi.
 
Hii timu mara ya mwisho kucheza ligi ni mwezi March 2020, na inamfanya simba kustruggle hivi

Aisee Andaeni lawama huko mbele kwa hii timu yenu
Ukikumbuka kuwa jamaa wamepita hatua ya awali ambayo Uto walipigwa Home and Away, unabaki kusema 'Sisi Utopolo na wa Songea, Mbeya, Mara na Kagera' haya mambo ya Kucheza Kimataifa tuwaachie Simba Mnyama!
 
Namsikia kocha wa galaxy akiwaambia wachezaji kua katika carrier yake ya ukufunzi hajawahi kukutana na mpinzani mwenye kiwango cha juu kama simba

Kocha ameenda mbali akiwatoa wasi wasi kua hamjakosea mahala, mmecheza kama nilivyo waambia ila mbinu nilizosomea ni ngumu kuzitumia kwa wapinzani kama simba, cha msingi tujitahidi tushikilie bomba walau tupigwe goli mbili bila
 
Ukikumbuka kuwa jamaa wamepita hatua ya awali ambayo Uto walipigwa Home and Away, unabaki kusema 'Sisi Utopolo na wa Songea, Mbeya, Mara na Kagera' haya mambo ya Kucheza Kimataifa tuwaachie Simba Mnyama!
Jwaneng hatua ya kwanza alimtoa nani?
 
Back
Top Bottom