FT: Jwaneng Galaxy 0 Simba SC 2

FT: Jwaneng Galaxy 0 Simba SC 2

Henonga ajengewe sanamu yake

Kazi hiyo ataifanya dickson job
 
kabisaa mkuu bora tushangalie wabotswana
hawa makolo wana timu mbovu mpaka wanatia kichefuchefu kuwaangalia
yamejaa majina tu timu haina muunganiko wanabutuabutua tu mpira kama wachezaji wa faru dume

sijui kwa nini hawajifunzi kucheza mpira mzuri kama yanga

nyie mapaka fc hebu jifunzeni kwa yanga wanacheza kama brazil ile ya kina vava garicha na pele unapata raha kuwatazama
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ingekuwa Yanga mpaka sasa kashafungwa goli 3 na kasusa kwenda dressing room
Kwamba unamaanisha kuwa hadi ile mipira ya kutengewa na wachezaji wa Galaxy kwenye 18 yao, Yanga wangefumba macho wasingefunga?
 
Back
Top Bottom