Mamserenger
JF-Expert Member
- Oct 14, 2019
- 1,156
- 2,092
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaangalia kupitia Azam Sports 3HDHuyu Inonga ndo huyu anayetoa maboko hapa uwanjani Gaborone
Inategemeana na namna unavyo tafsiri neno struggleHii timu yenu kwamba hamjaona Namna inavyo struggle
Nyinyi mshatolewa,tulieni jikoni kwenye upishi huku sebuleni kuna kikao cha wanaume.Hii timu yenu kwamba hamjaona Namna inavyo struggle
Ndiyo ushangae akili za Makolo kumsifia mchezaji wa hivyoHuyu Inonga ndo huyu anayetoa maboko hapa uwanjani Gaborone
[emoji1787][emoji1787][emoji23] Haya bhana... Tunawatakia kila la Heri wataniJaneng Galaxy ni timu ngumu sana ila Simba wametumia uzoefu kwa kuwavua chupi mapema.
[emoji23][emoji23][emoji23]kabisaa mkuu bora tushangalie wabotswana
hawa makolo wana timu mbovu mpaka wanatia kichefuchefu kuwaangalia
yamejaa majina tu timu haina muunganiko wanabutuabutua tu mpira kama wachezaji wa faru dume
sijui kwa nini hawajifunzi kucheza mpira mzuri kama yanga
nyie mapaka fc hebu jifunzeni kwa yanga wanacheza kama brazil ile ya kina vava garicha na pele unapata raha kuwatazama
Inatumika nguvu kubwa sana kuprove uwezo wa InongaHenock Inonga man of the match so far
Ila pira la aftica majanga tuseme ukweli
Kwamba unamaanisha kuwa hadi ile mipira ya kutengewa na wachezaji wa Galaxy kwenye 18 yao, Yanga wangefumba macho wasingefunga?Ingekuwa Yanga mpaka sasa kashafungwa goli 3 na kasusa kwenda dressing room
Alafu club yao ikafika hatua hii ambayo utopolo inaiotaMara ya mwisho ligi kuu ya Botswana kuchezwa ilikuwa mwezi March 2020
Katoa maboko zaidi ya mbiliHenock Inonga man of the match so far