rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Mbinu alizotumia ni sahihi ila amekutana na timu boraNamsikia kocha wa galaxy akiwaambia wachezaji kua katika carrier yake ya ukufunzi hajawahi kukutana na mpinzani mwenye kiwango cha juu kama simba
Kocha ameenda mbali akiwatoa wasi wasi kua hamjakosea mahala, mmecheza kama nilivyo waambia ila mbinu nilizosomea ni ngumu kuzitumia kwa wapinzani kama simba, cha msingi tujitahidi tushikilie bomba walau tupigwe goli mbili bila