FT: Jwaneng Galaxy 0 Simba SC 2

FT: Jwaneng Galaxy 0 Simba SC 2

Namsikia kocha wa galaxy akiwaambia wachezaji kua katika carrier yake ya ukufunzi hajawahi kukutana na mpinzani mwenye kiwango cha juu kama simba

Kocha ameenda mbali akiwatoa wasi wasi kua hamjakosea mahala, mmecheza kama nilivyo waambia ila mbinu nilizosomea ni ngumu kuzitumia kwa wapinzani kama simba, cha msingi tujitahidi tushikilie bomba walau tupigwe goli mbili bila
Mbinu alizotumia ni sahihi ila amekutana na timu bora
 
Eeeh Kwani Rivers United hatua ya awali alimtoa nani?

Au umeshasahau kuwa huyo Jwaneng ameanzia kwenye hatua ya awali ambayo Utopolo alipigwa?
Jwaneng alimtoa nani hatua ya kwanza?
 
Back
Top Bottom