OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
ngoja tuwatafutie point na mwakani mshiriki ubwa nyieKwa kiwango hiki cha Makolo mwaka huu watapigwa na Yanga mara nne, 1.Ligi Mara mbili
2. FA
3. Mapinduzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ngoja tuwatafutie point na mwakani mshiriki ubwa nyieKwa kiwango hiki cha Makolo mwaka huu watapigwa na Yanga mara nne, 1.Ligi Mara mbili
2. FA
3. Mapinduzi
Wewe kweli topolo. Hatua kama hii simba akiwa away alifungwa na nkana, alifungwa na platinum ila mwisho wa siku nadhani unajua...unajitesa bure topolo.Huu mwaka hakuna timu hapa
Kumbuka kila siku sio kama utacheza na hawa JwanengMkuu ila mda mwingine kwenye football matokeo ni bora kuliko parten of playing
That was different squad broWewe kweli topolo. Hatua kama hii simba akiwa away alifungwa na nkana, alifungwa na platinum ila mwisho wa siku nadhani unajua...unajitesa bure topolo.
Aliyetolewa hatua za awali anamshauri aliyeshindaBenchi lina kazi ya kufanya kwenye hiki kikosi mwaka huu
Mark my words
Mnyama huyo anaelekea makundi ya Cacl nyie uto mpo dimbwini.Kila la kheri Wabotswana, baba wa Taifa alituambia Afrika ni moja na sote ni ndugu!
Tadeo lwanga au EnogaWaone sio wanapuyanga tu uwanjani.
Nabii wa soka !Utabiri wangu.
Jwaneng 0 vs 2 Simba.
KILA LA KHERI SIMBA NGUVU MOJA.
Hii imefungwa?That simba was suicide squad bro
Haikuwa timu inayoridhika na matokeo kabisa hasa akikutana na mpinzani alie na soft team
Sasa squad ambayo imewin away unaanzaje kusema ni weak kuliko iliyofungwa?That was different squad bro
Mwenye vyeti feki alichukua makombe mawili msimu uliopita akakubeba au umesahauHawa wacheza Makirikiri hakuna timu,wanafungwa na timu yenye kocha mwenye vyeti feki
Unajua maana ya kuridhika na matokeoHii imefungwa?
Uto wange kalishwa 3 kwa 0Full time
Galaxy 0-2 Simba
Hawa jamaa siyo wabaya kivile..na wangekutana na Ile timu ya mbogamboga,mbogamboga(uto) wangekunywa goli nyingi Tu😁😁
Mmezoea mbeleko kwenda kimataifa ,hivi hamwoni aibu?mfano CAF ikabadili Sheria kwamba anayebebwa kwenda kimataifa lazima afumuliwe kwanza marinda ndo abebwe mtafanyajeKwa kiwango hiki cha Makolo mwaka huu watapigwa na Yanga mara nne, 1.Ligi Mara mbili
2. FA
3. Mapinduzi
Tukia ww topolo.Unajua maana ya kuridhika na matokeo