Unajionaje sasa hivi na mwiko wako huko nyuma [emoji28][emoji28][emoji28]kabisaa mkuu bora tushangalie wabotswana
hawa makolo wana timu mbovu mpaka wanatia kichefuchefu kuwaangalia
yamejaa majina tu timu haina muunganiko wanabutuabutua tu mpira kama wachezaji wa faru dume
sijui kwa nini hawajifunzi kucheza mpira mzuri kama yanga
nyie mapaka fc hebu jifunzeni kwa yanga wanacheza kama brazil ile ya kina vava garicha na pele unapata raha kuwatazama
Kunywa maji kidogo 🤣🤣🤣🤣habari zenu tunazo mmewavizia wabotswana haraka haraka kama ngumi za tyson
na nimeona kocha wao akihojiwa anasema mmbebwa na refarii
nyie mikia kwenye makundi mnashika mikia kama mikia jina lenu tukione kikosi chenu kipana kilichopanuka sana sehemu za nyuma kwa sasa
yaaan timu mbooooooooooooooovu sana msiombe mkutane na yanga kwa sasa ombeeni hivo siku zisogeee moto wetu labda utapungua
Nyamizi Kavirondo Nyonzo bin mvule
Unajionaje sasa hivi na mwiko wako huko nyuma [emoji28][emoji28][emoji28]
mkuu nenda kalale malalamiko yako utaendelea keshotuliyaona shinyanga bocco kapewa tuta
sawa mkuu ila kwa ushuzi mnaoonyesha uwanjani makundi bora mwamedi awapeleke twiga starsmkuu nenda kalale malalamiko yako utaendelea kesho
afu simba na yanga lini zinacheza kaka?mkuu nenda kalale malalamiko yako utaendelea kesho
Dah.......! Rivers mlichowafanyia Wananchi mjue mna Dhambi..! Munaona Sasa lawama hizi, Marefa Wa huku Bongo washazoea hizi lawama za Uto...! Sasa Marefa Wa CL Afrika Wanalo.. na Wao Wanaibeba Simba.mnazungumziaje malalamiko ya kocha wao au hamjaangalia interview??
kifupi anasema mmbebwa na refarii(hongeren CEO tunaona mnavyomtumia nje ya uwanja)😂😂😂
tuliyaona shinyanga bocco kapewa tuta,tukayaona dodoma redcard ya magumashi na sasa tumeyaona botswana mwendo wa kubebwa tuu sasa itabidi marefarii tuwawekee kamera tujue huyu CEO wenu anawapa nini😎
kwa hiyo ushauri wangu kwenu chekeni kidogo mbele ya safari mtalia sana sababu timu yenu bado mbovu mbovu mbovu yaan nyie wabovu kinachowapa ushindi wa kubebwa tushaanza kukinusa tunakifanyia uchunguz msije badae mkaaza kulaumu oooh sijui kwanin mugalu anaanza! ooh sijui nyoni nae angekuwa kati oooh sijui banda kawa kama banda la njiwa
tulieni tengenezeni timu kwanza ndo muanze kujitapa kwa Africa nyie kwa sasa ni underdog
mkuu muambie ndugu yako OKWI BOBAN SUNZU abadilishe majinaDah.......! Rivers mlichowafanyia Wananchi mjue mna Dhambi..! Munaona Sasa lawama hizi, Marefa Wa huku Bongo washazoea hizi lawama za Uto...! Sasa Marefa Wa CL Afrika Wanalo.. na Wao Wanaibeba Simba.
Boko na Lwanga Walifunga Wakiwa Offside Kapeta....! Wana Utopolo Msikubali kilo 800 afungue mashtaka CAS haraka.
mnazungumziaje malalamiko ya kocha wao au hamjaangalia interview??
kifupi anasema mmbebwa na refarii(hongeren CEO tunaona mnavyomtumia nje ya uwanja)😂😂😂
tuliyaona shinyanga bocco kapewa tuta,tukayaona dodoma redcard ya magumashi na sasa tumeyaona botswana mwendo wa kubebwa tuu sasa itabidi marefarii tuwawekee kamera tujue huyu CEO wenu anawapa nini😎
kwa hiyo ushauri wangu kwenu chekeni kidogo mbele ya safari mtalia sana sababu timu yenu bado mbovu mbovu mbovu yaan nyie wabovu kinachowapa ushindi wa kubebwa tushaanza kukinusa tunakifanyia uchunguz msije badae mkaaza kulaumu oooh sijui kwanin mugalu anaanza! ooh sijui nyoni nae angekuwa kati oooh sijui banda kawa kama banda la njiwa
tulieni tengenezeni timu kwanza ndo muanze kujitapa kwa Africa nyie kwa sasa ni underdog hii simba sio ile simba ya mwaka jana na juzi hii mie naiita simba makolo yaan hamna kitu bora timu yangu ya ashanti ilikuwa inacheza mpira wa kuelewe
Shikamoo!! Sijui unakunywa soda gani?Utabiri wangu.
Jwaneng 0 vs 2 Simba.
KILA LA KHERI SIMBA NGUVU MOJA.
Utopolo hakuweza kufikia hatua hii na unajua vizuri!! Hii ni timu nzuri sema imekutana na wanaume wa soka! Wangekutana na utopolo ingekuwa habari nyingine kabisaHapa hamna timu kabisa
Utopolo nyie hamkuwa na sifa ya kushiriki caf champions league! Mmebebwa na points nyingi alizokusanya simba!! Bahati mbaya hambebeki!! Na mwaka huu tutawabeba tena!! Maana ninyi mmechangia pointi sifuri huko caf mwaka huu!!Hakuna mtu mnayemtafutia nafasi kima nyinyi
[emoji122][emoji122][emoji122]Nakumbuka nilipokuwa mdogo wa miaka 8 ndio nilianza kuipenda hii timu ya Jwaneng Galaxy timu yangu ya mtaani kabisa
Utopolo ni zigo la mavi halibebekiUtopolo nyie hamkuwa na sifa ya kushiriki caf champions league! Mmebebwa na points nyingi alizokusanya simba!! Bahati mbaya hambebeki!! Na mwaka huu tutawabeba tena!! Maana ninyi mmechangia pointi sifuri huko caf mwaka huu!!