FT: Jwaneng Galaxy 0 Simba SC 2

FT: Jwaneng Galaxy 0 Simba SC 2

kabisaa mkuu bora tushangalie wabotswana
hawa makolo wana timu mbovu mpaka wanatia kichefuchefu kuwaangalia
yamejaa majina tu timu haina muunganiko wanabutuabutua tu mpira kama wachezaji wa faru dume

sijui kwa nini hawajifunzi kucheza mpira mzuri kama yanga

nyie mapaka fc hebu jifunzeni kwa yanga wanacheza kama brazil ile ya kina vava garicha na pele unapata raha kuwatazama
Unajionaje sasa hivi na mwiko wako huko nyuma [emoji28][emoji28][emoji28]
 
habari zenu tunazo mmewavizia wabotswana haraka haraka kama ngumi za tyson

na nimeona kocha wao akihojiwa anasema mmbebwa na refarii

nyie mikia kwenye makundi mnashika mikia kama mikia jina lenu tukione kikosi chenu kipana kilichopanuka sana sehemu za nyuma kwa sasa

yaaan timu mbooooooooooooooovu sana msiombe mkutane na yanga kwa sasa ombeeni hivo siku zisogeee moto wetu labda utapungua

Nyamizi Kavirondo Nyonzo bin mvule
Kunywa maji kidogo 🤣🤣🤣🤣
 
IMG_0447.jpg
 
Attachments

  • IMG_0447.png
    IMG_0447.png
    23.7 KB · Views: 1
Unateseka ukiwa wapi ww nyani fc

View attachment 1977784
Unajionaje sasa hivi na mwiko wako huko nyuma [emoji28][emoji28][emoji28]

mnazungumziaje malalamiko ya kocha wao au hamjaangalia interview??

kifupi anasema mmbebwa na refarii(hongeren CEO tunaona mnavyomtumia nje ya uwanja)😂😂😂
tuliyaona shinyanga bocco kapewa tuta,tukayaona dodoma redcard ya magumashi na sasa tumeyaona botswana mwendo wa kubebwa tuu sasa itabidi marefarii tuwawekee kamera tujue huyu CEO wenu anawapa nini😎

kwa hiyo ushauri wangu kwenu chekeni kidogo mbele ya safari mtalia sana sababu timu yenu bado mbovu mbovu mbovu yaan nyie wabovu kinachowapa ushindi wa kubebwa tushaanza kukinusa tunakifanyia uchunguz msije badae mkaaza kulaumu oooh sijui kwanin mugalu anaanza! ooh sijui nyoni nae angekuwa kati oooh sijui banda kawa kama banda la njiwa

tulieni tengenezeni timu kwanza ndo muanze kujitapa kwa Africa nyie kwa sasa ni underdog hii simba sio ile simba ya mwaka jana na juzi hii mie naiita simba makolo yaan hamna kitu bora timu yangu ya ashanti ilikuwa inacheza mpira wa kueleweka
 
mnazungumziaje malalamiko ya kocha wao au hamjaangalia interview??

kifupi anasema mmbebwa na refarii(hongeren CEO tunaona mnavyomtumia nje ya uwanja)😂😂😂
tuliyaona shinyanga bocco kapewa tuta,tukayaona dodoma redcard ya magumashi na sasa tumeyaona botswana mwendo wa kubebwa tuu sasa itabidi marefarii tuwawekee kamera tujue huyu CEO wenu anawapa nini😎

kwa hiyo ushauri wangu kwenu chekeni kidogo mbele ya safari mtalia sana sababu timu yenu bado mbovu mbovu mbovu yaan nyie wabovu kinachowapa ushindi wa kubebwa tushaanza kukinusa tunakifanyia uchunguz msije badae mkaaza kulaumu oooh sijui kwanin mugalu anaanza! ooh sijui nyoni nae angekuwa kati oooh sijui banda kawa kama banda la njiwa

tulieni tengenezeni timu kwanza ndo muanze kujitapa kwa Africa nyie kwa sasa ni underdog
Dah.......! Rivers mlichowafanyia Wananchi mjue mna Dhambi..! Munaona Sasa lawama hizi, Marefa Wa huku Bongo washazoea hizi lawama za Uto...! Sasa Marefa Wa CL Afrika Wanalo.. na Wao Wanaibeba Simba.
Boko na Lwanga Walifunga Wakiwa Offside Kapeta....! Wana Utopolo Msikubali kilo 800 afungue mashtaka CAS haraka.
 
mkuu muambie ndugu yako OKWI BOBAN SUNZU abadilishe majina
hao maligend hawa mashabiki walioletwa kwa hisani ya manara hawawajui

mie nampenda kumpa hili jina BANDA LIMEKUWA LANJIWA litamfaa sana hususan katika hiki kipindi cha mpito
 
mnazungumziaje malalamiko ya kocha wao au hamjaangalia interview??

kifupi anasema mmbebwa na refarii(hongeren CEO tunaona mnavyomtumia nje ya uwanja)😂😂😂
tuliyaona shinyanga bocco kapewa tuta,tukayaona dodoma redcard ya magumashi na sasa tumeyaona botswana mwendo wa kubebwa tuu sasa itabidi marefarii tuwawekee kamera tujue huyu CEO wenu anawapa nini😎

kwa hiyo ushauri wangu kwenu chekeni kidogo mbele ya safari mtalia sana sababu timu yenu bado mbovu mbovu mbovu yaan nyie wabovu kinachowapa ushindi wa kubebwa tushaanza kukinusa tunakifanyia uchunguz msije badae mkaaza kulaumu oooh sijui kwanin mugalu anaanza! ooh sijui nyoni nae angekuwa kati oooh sijui banda kawa kama banda la njiwa

tulieni tengenezeni timu kwanza ndo muanze kujitapa kwa Africa nyie kwa sasa ni underdog hii simba sio ile simba ya mwaka jana na juzi hii mie naiita simba makolo yaan hamna kitu bora timu yangu ya ashanti ilikuwa inacheza mpira wa kuelewe
 
Wydad casablanca kapigwa 1-0 ugenini

Al Ahly kadroo 1-1ugenini

Rivers united ( waliowatoa gongowazi) wamedroo 1-1nyumbani

Tp mazembe alidroo 0-0 ugenini

Zanaco fc ( ya kapumbu) waliopiga utopolo siku ya misukule wamepigwa 3-0 ugenini na El Merrikh iliyopigwa na Simba 3-0 kwa mkapa

Mpaka sasa ni Simba sc ndiyo timu pekee iliyopata ushindi wa magoli mengi ugenini.

Ulitaka wacheze kukufurahisha wewe ilihali tayari walikuwa na goli mbili za away?

CAF CL ni league

"Nimekopi JF habari hii nzuri"
Saguda47:
 
Utopolo nyie hamkuwa na sifa ya kushiriki caf champions league! Mmebebwa na points nyingi alizokusanya simba!! Bahati mbaya hambebeki!! Na mwaka huu tutawabeba tena!! Maana ninyi mmechangia pointi sifuri huko caf mwaka huu!!
Utopolo ni zigo la mavi halibebeki
 
Back
Top Bottom