FT: Jwaneng Galaxy 0 Simba SC 2

Sasa kama hawajacheza muda mrf ndo wangeonyesha kiu ya kucheza. By the way unawadharau ile timu wakati wamecheza mpira mzuri tuu hata Yanga hamuoni ndani kwao
Hahaha unajitekenya halafu unacheka mwenyewe
 
Mm
Timu zote ambazo tumezifunga ndio wanajua ubora wetu, akiwemo na Simba na kupigiwa mpira mwingi sana
Mmezifunga kwa kabao kamoja ndo watapimaje sasa ubora wenu hapo. Ni kama mlicheza dkk 90 mkatoka droo tuu. Kwanza mkifunga mnaacha kwenda forward mnaatamia golini yani mnalinda goli mpk mnakera mnaacha sasa mpira unachezwa na wapinzani wenu ndo maana juzi mmekasirika simba walipowekewa ball possesion asilimia nyingi kuliko timu ingine kwa sbb ujinga kama huu.
 
Kwa taarifa yako siku hizi huwa hafikishi Ball possession 50%
 
Mkuu unatumia nguvu nyingi sana, Utopolo wenye akili ni Mzee Jk na Mzee Manara
 
Kwahyo ile timu ya wavunja kuni ndo bora kuliko Yanga, timu nzima wanacheza mpira kama Jihad
Wanakula wanashiba vizuri hawana njaa njaa kama kwenu lazima wawavunje. Na hvyo mko legelege hahahha
 
Kipimo chenu makolo bwenzi ni mechi ya Tp mazembe mlipigwa vumbi, mechi ya Yanga mlipigwa vumbi tena na Biashara nusura mpewe kichurachura

Narudia tena, Mmepiga bomu mochwari na kujisifu mmeua
Uto imefungwa na Rivers United timu inayomilikiwa na waendesha boda boda wa Nigeria [emoji38][emoji38][emoji196]
 
Wanakula wanashiba vizuri hawana njaa njaa kama kwenu lazima wawavunje. Na hvyo mko legelege hahahha
Basi ndio maana Lwanga Akapewa kadi nyekundu kwa kuchezea kijana kutoka Zanzibar Feisal Salum
 
Uto umepigwa nje ndani [emoji38][emoji38]nyie endeleeni kupokea wageni ndio akili mliyobakiza
 
Uto imefungwa na Rivers United timu inayomilikiwa na waendesha boda boda wa Nigeria [emoji38][emoji38][emoji196]
Wale Galaxy umepata ushindi kwao kwasababu ni timu ya wachimba chumvi kule Botswana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…