Mnyuke Jr
JF-Expert Member
- Jul 3, 2021
- 4,472
- 6,391
Timu imejaa wakata miwa watupu ni kama vile wanaumwa uti wa mgongoUnataka wanyumbue nini Sasa wanavyowanyumbua hamuoni?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Timu imejaa wakata miwa watupu ni kama vile wanaumwa uti wa mgongoUnataka wanyumbue nini Sasa wanavyowanyumbua hamuoni?
Hahaha unajitekenya halafu unacheka mwenyeweSasa kama hawajacheza muda mrf ndo wangeonyesha kiu ya kucheza. By the way unawadharau ile timu wakati wamecheza mpira mzuri tuu hata Yanga hamuoni ndani kwao
Hahahaha kwahyo umefungwa mechi gani mkuu?biashara alitufunga wapi? Hatuuapoteza Mchezo wowote kwenye ligi sisi
Mmezifunga kwa kabao kamoja ndo watapimaje sasa ubora wenu hapo. Ni kama mlicheza dkk 90 mkatoka droo tuu. Kwanza mkifunga mnaacha kwenda forward mnaatamia golini yani mnalinda goli mpk mnakera mnaacha sasa mpira unachezwa na wapinzani wenu ndo maana juzi mmekasirika simba walipowekewa ball possesion asilimia nyingi kuliko timu ingine kwa sbb ujinga kama huu.Timu zote ambazo tumezifunga ndio wanajua ubora wetu, akiwemo na Simba na kupigiwa mpira mwingi sana
Najitekanyaje broo huo ndo ukweli yani ile timu ni nzuri kuliko utopoloHahaha unajitekenya halafu unacheka mwenyewe
Kwa taarifa yako siku hizi huwa hafikishi Ball possession 50%Mm
Mmezifunga kwa kabao kamoja ndo watapimaje sasa ubora wenu hapo. Ni kama mlicheza dkk 90 mkatoka droo tuu. Kwanza mkifunga mnaacha kwenda forward mnaatamia golini yani mnalinda goli mpk mnakera mnaacha sasa mpira unachezwa na wapinzani wenu ndo maana juzi mmekasirika simba walipowekewa ball possesion asilimia nyingi kuliko timu ingine kwa sbb ujinga kama huu.
Kwahyo ile timu ya wavunja kuni ndo bora kuliko Yanga, timu nzima wanacheza mpira kama JihadNajitekanyaje broo huo ndo ukweli yani ile timu ni nzuri kuliko utopolo
Mkuu unatumia nguvu nyingi sana, Utopolo wenye akili ni Mzee Jk na Mzee ManaraBingwa wa SA n mamelod, bingwa wa congo ni Tp ,mazembe, maniema kapata nafasi baada ya vita kupokonywa point, Libya imeletea timu hapa, tunajua kilicho tokea, Endeleen na hii mentality yenu ya hovyo , endeleen tu [emoji23][emoji23][emoji23], tumemaliza mbele ya Al ahly last year kwenye group, two seasons back tumemaliza nafasi ya pili nyuma ya Al ahly huyo huyo, last time funafungwa nyumban kwenye champions league ni 2011 kama sio 2012, ndani ya misimu minne hii tumesuluhu mechi mbili tu taifa, Vs Ud songo na robo final vs Tp mazembe, wengine wooote tumepiga. Galaxy nae akija hapa it's just another victim tu kama wengine, Meenda kukusanya nusu ya kikos As vita, wanao malizaga wa mwisho group stage, tumemchapa mara 3 mfululizo champions league , endeleen kujidanganya tu, siku mkishtuka tutawapokea kwa mikono miwil tusaidiane kupeperusha Bendera ya taifa
Lkn wakati huu Wakat huu tunapepea huko dunian nyie kila timu endeleen kuuitq dhaifu, wakitufunga wanajua
Basi kumbe hata mpira huangaliagi unasikilizia kwny vijiweKwa taarifa yako siku hizi huwa hafikishi Ball possession 50%
Wanakula wanashiba vizuri hawana njaa njaa kama kwenu lazima wawavunje. Na hvyo mko legelege hahahhaKwahyo ile timu ya wavunja kuni ndo bora kuliko Yanga, timu nzima wanacheza mpira kama Jihad
Leta uthibitisho wa mechi ambayo simba mwaka huu kafikisha Ball possesion 50%Kwel
Basi kumbe hata mpira huangaliagi unasikilizia kwny vijiwe
Uto imefungwa na Rivers United timu inayomilikiwa na waendesha boda boda wa Nigeria [emoji38][emoji38][emoji196]Kipimo chenu makolo bwenzi ni mechi ya Tp mazembe mlipigwa vumbi, mechi ya Yanga mlipigwa vumbi tena na Biashara nusura mpewe kichurachura
Narudia tena, Mmepiga bomu mochwari na kujisifu mmeua
Basi ndio maana Lwanga Akapewa kadi nyekundu kwa kuchezea kijana kutoka Zanzibar Feisal SalumWanakula wanashiba vizuri hawana njaa njaa kama kwenu lazima wawavunje. Na hvyo mko legelege hahahha
Uto umepigwa nje ndani [emoji38][emoji38]nyie endeleeni kupokea wageni ndio akili mliyobakizaTimu mbovu hata ipambane vipi haiwezi kubadilika, kwani ubovu wenu umeanza kwenye mechi ya jana tu
Ubovu wenu umeanza tangu mechi za pre season mlipotoa sare zote na vitimu vya kawaida kabisa, mkaja simba day Tp mazembe wakapata vumbi la congo na wakawapiga kimoja, mkaja kwenye Ngao ya hisani likatumika tena vumbi la Congo na tukajilia vyetu wanaume, mkaja kwa wanajeshi wa mpakani kichura chura kikahusika na kupona tundu la sindano, mkaja kwa Dodoma Jiji bila zile chupli chupli shughuli yenu ilikuwa imeisha
Yaani kwa Jwaneng ni sawa kupiga Bomu mochwari na kujisifu umeua
Wale Galaxy umepata ushindi kwao kwasababu ni timu ya wachimba chumvi kule BotswanaUto imefungwa na Rivers United timu inayomilikiwa na waendesha boda boda wa Nigeria [emoji38][emoji38][emoji196]
Wanyumbulifu walifungwa nje ndani na Rivers UnitedYaani timu ya simba imejaa wavunja kuni tu, yaani hakuna wachezaji ambao ni wanyumbulifu
Wewe ni hasara kwa Familia yako na Taifa kwa ujumlaTimu zote ambazo tumezifunga ndio wanajua ubora wetu, akiwemo na Simba na kupigiwa mpira mwingi sana
Achana na Ball possession waumezenu tunapenda makundiLeta uthibitisho wa mechi ambayo simba mwaka huu kafikisha Ball possesion 50%
[emoji3][emoji3] homeboy leo umejitutumua sana kijibu hoja ila zote ni poyoyo tuWale Galaxy umepata ushindi kwao kwasababu ni timu ya wachimba chumvi kule Botswana
Wale Galaxy umepata ushindi kwao kwasababu ni timu ya wachimba chumvi kule Botswan
Huoni aibu unabishana peke yako?Wale Galaxy umepata ushindi kwao kwasababu ni timu ya wachimba chumvi kule Botswana