Mnyuke Jr
JF-Expert Member
- Jul 3, 2021
- 4,472
- 6,391
Najua ukweli unao moyoni mkuu kuhusu timu yako ya kihindi[emoji3][emoji3] homeboy leo umejitutumua sana kijibu hoja ila zote ni poyoyo tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Najua ukweli unao moyoni mkuu kuhusu timu yako ya kihindi[emoji3][emoji3] homeboy leo umejitutumua sana kijibu hoja ila zote ni poyoyo tu
Huko makundi mwaka huu ndio zinarudi zile za kupigwa tano kila mechiAchana na Ball possession waumezenu tunapenda makundi
Ukweli ni kwamba Simba SC ndio timu pekee inayowakilisha vyema nchi yetu kimataifaNajua ukweli unao moyoni mkuu kuhusu timu yako ya kihindi
Ismael Aden Rage once said "mbumbumbu "Mkuu unatumia nguvu nyingi sana, Utopolo wenye akili ni Mzee Jk na Mzee Manara
Inatuwakilisha vyema kwa kupigwa tano tano ktk hatua za makundiUkweli ni kwamba Simba SC ndio timu pekee inayowakilisha vyema nchi yetu kimataifa
Ngoja tusubiri maana maneno haya tulisha zoea hata last season ilikuwa hivi hiviHuko makundi mwaka huu ndio zinarudi zile za kupigwa tano kila mechi
Sawa timu ya wavunja kuni na wakata miwa, mara ooooooooh sisi tuna pira Biriani, now mnavunja kuni tu uwanjaniWewe ni hasara kwa Familia yako na Taifa kwa ujumla
Baada ya kupigwa tano tano mwisho ikawaje?Inatuwakilisha vyema kwa kupigwa tano tano ktk hatua za makundi
Dalili ya mvua ni mawingu, na zile Goal tano tano dalili zake zimeanza kuonekanaNgoja tusubiri maana maneno haya tulisha zoea hata last season ilikuwa hivi hivi
hizo kuni zetu ndio zinatupeleka makundi,nyie endeleeni kutafuta muunganikoSawa timu ya wavunja kuni na wakata miwa, mara ooooooooh sisi tuna pira Biriani, now mnavunja kuni tu uwanjani
Ukaanza kupulizia dawa za kuwamaliza nguvu wapinzani kwenye vyumba vya kubadilishia nguvuBaada ya kupigwa tano tano mwisho ikawaje?
Huu mwaka huko makundi hamna chochote mtafanya kwa kikosi hiki nyie makolo bwenzi zaidi ya kupata zile Goal tano tanohizo kuni zetu ndio zinatupeleka makundi,nyie endeleeni kutafuta muunganiko
Hizo zinaitwa mbinu za kivitaUkaanza kupulizia dawa za kuwamaliza nguvu wapinzani kwenye vyumba vya kubadilishia nguvu
This signifies your poor minded personHizo zinaitwa mbinu za kivita
Una roho ya kichawi!! Mxuuu
Ila mashabiki wa uto wengi mna roho za kwann sikushangai.
Una roho ya kichawi!! Mxuuu
Roho ya kisokolokwinyo na kinyongoliloIla mashabiki wa uto wengi mna roho za kwann sikushangai.