FT: Kagera sugar FC 0-0 Yanga SC | NBC premier League | Kaitaba stadium | 02.2.2024

KAGERA SUGER WAMENYIMWA GOLI HILO NI GOLI HALALI KABISA.

NDIYO MAANA HAWA MAREFA HAWENDI HATA AFCON.

UPUUZI TU.
Hadi wewe umesema basi kweli namimi naanza kuamini kuna fraud imefanyika
 
Yani na kubebwa kote mmeshindwa kubebeka...jomoniii
 
Jamani mtaniiiiiiii....sio mbaya kuliko kufungwa...
 
Yanga na Simba nadhani Marefa wanaziogopa sana.
Hadi wanakosea maamuzi.
Unajua sometimes tukiweka hisia zetu pembeni juu ya hizi timu zetu tukasema let's talk reality, hizi timu ndogo zinaonewa sana.

Timu ambayo haina bajeti kubwa ya kusajili wachezaji, timu ambayo inasafa kulipa mishahara wachezaji wake, timu ambayo malengo yake imekuwa ni kupambana isishuke daraja.

Leo hii wachezaji wa timu hiyo wanajitoa kwa jasho na damu kuipambania timu yao katika mazingira hayo magumu, wanafanikiwa kupata bao lakini refa anawagomea, kiukweli sio fair kabisa.

Sometimes tutajikuta tunakosa hata mamlaka ya kudai kuwa Simba na Yanga ni timu kubwa ilihali ili ionekane Simba kashinda au hajafungwa ni mpaka yatolewe maamuzi ya kuikandamiza timu pinzani ambayo ni nyonge.

Sio fair kabisa
 
Kila la kheri kwa timu yangu Yanga, ushindi ni lazima kokote popote.
Sukari imekuwa adimu sana so Yanga sio ya kuifunga Kagera sugar, jaribuni kwa walima mpunga huko mnaweza bahatisha ushindi πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hii team iliyocheza leo ni Yanga F?
 
Kwani ligi kuu na azam wakikaa mezan wakawapatia waamuzi tablet yenye azam max, iwe inatumika kama VAR ingepungukiwa nini, maref wetu ni wabovu kupitiliza, wafanye hivyo itumike VAR ya mchongo, atleast itasaidia haki kupatikana
Kwa Camera gani?

Mechi za mkoani inapelekwa Camera moja tu nayo ina lensi ya Infinix

Ikitokea incident mchezaji kaipa mgongo Camera na kuhitaji Camera ya mbele iweze kukupa tukio linaloendelea hauwezi kupata ni mpaka usubirie jamaa ageuke na mpira kui face Camera

Sasa in that case ikafanyika faulo maana yake hauwezi kujua nini kimefanyika hata kama wakienda na hizo Tablets.

Mechi za hapo kwa Mkapa at least walikuwa aanaweka Camera nyuma ya goli lakini nazo mara kibao zimekuwa useless.

Ni nadra sana kuona zikitumika kwenye marejeo ya mpira.

Kingine ni mfumo wa replay kwa Azam unashida.

Replay za Azam zina mnato wa kama ku scratch yani hazipo proper kiukweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…