Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Huyo Yao akili zake zimeisaidia nini timu?Farid Mussa anashindwa kutumia akili kubwa kama wenzie wakina Yao
Haya mambo yanafuata asili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo Yao akili zake zimeisaidia nini timu?Farid Mussa anashindwa kutumia akili kubwa kama wenzie wakina Yao
Kumbe hii ndio incident uliyokuwa una maanisha?Goli clear kabisa tumenyimwa. Mtangazaji kaniunga mkono. Huyu refa pumbavu kabisa
Hadi wewe umesema basi kweli namimi naanza kuamini kuna fraud imefanyikaKAGERA SUGER WAMENYIMWA GOLI HILO NI GOLI HALALI KABISA.
NDIYO MAANA HAWA MAREFA HAWENDI HATA AFCON.
UPUUZI TU.
Unajua sometimes tukiweka hisia zetu pembeni juu ya hizi timu zetu tukasema let's talk reality, hizi timu ndogo zinaonewa sana.Yanga na Simba nadhani Marefa wanaziogopa sana.
Hadi wanakosea maamuzi.
Ishakuwa kauli mbiuWanasema makosa ya kibinadamu
Imeniliza sana 😭Jamani mtaniiiiiiii....sio mbaya kuliko kufungwa...
Sawa, leo ruksa kusema yote.Niliwahi kukuambia kuwa Bongo hakuna timu yenye kikosi kipana nadhani hukunielewa.
Nyie mna timu yenye watu wengi, sio kikosi kipana.
Sukari imekuwa adimu sana so Yanga sio ya kuifunga Kagera sugar, jaribuni kwa walima mpunga huko mnaweza bahatisha ushindi 😂😂Kila la kheri kwa timu yangu Yanga, ushindi ni lazima kokote popote.
Hii team iliyocheza leo ni Yanga F?⚽️ Kagera Sugar Vs Young Africans SC
📆 02.02.2024
🏟 Kaitaba
🕖 10:00 Jioni
Mungu ibariki Yanga SC
Kikosi cha Yanga SC View attachment 2891853
Dakika ya 1
Kagera Sugar 0-0 Yanga.
Dakika ya 17
Kagera Sugar 0-0 Yanga.
Dakika ya 31
Kagera Sugar 0-0 Yanga.
𝐇𝐀𝐋𝐅 𝐓𝐈𝐌𝐄⏱️| #NBCPremierLeague
Kagera Sugar 0-0 Young Africans SC
View attachment 2891895
Kipindi cha pili kimeanza sasa
Dakika ya 50
Bado ni 0-0
Dakika ya 57
Yanga wanafanya mabadiliko ya wachezaji wawili faridi Musa out musonda in na mzize out giede in
Dakika ya 65
Bado ni 0-0
Dakika ya 70
Bado ni 0-0
Dakika ya 80
Bado ni 0-0
Dakika ya 90 za niongeza ni 8
Bado ni 0-0
Full time
View attachment 2891966
Na mtoto wake ana miaka 17Acha kumsema sema mtoto mzize bado kinda sana ana miaka 20 tu mbona anajitahidi sana
🤣😁LabdaHii team iliyocheza leo ni Yanga F?
Huyo Yao
Ngoja uchunguzi ufanyike 😂🤣😁Labda
Huyo Mzize si ndo mlitaka kuamdamana kushinikiza kocha wa Stars amuite!? Nyie hamumtaki alafu mnataka kutuuzia msala team ya Taifa!![emoji1787]Guede kwa dakika alizocheza kaonesha ni mchezaji hatari, ila bahati mbaya kocha bado ana amini katika Mzize.
Kwa Camera gani?Kwani ligi kuu na azam wakikaa mezan wakawapatia waamuzi tablet yenye azam max, iwe inatumika kama VAR ingepungukiwa nini, maref wetu ni wabovu kupitiliza, wafanye hivyo itumike VAR ya mchongo, atleast itasaidia haki kupatikana
Vipi una mashaka na lishe?