Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
- Thread starter
-
- #41
Hawa jamaa wanataka kutupa sukari hapa πππDaaah kuna nafasi 2 hapa Uto chup chup
Ndivyo mnavyofanyaga?Uto tembezeni miamala. Hali tete
Tutajuana bdaeHahahaaa. Kweeenddraaaa. [emoji1731][emoji1731]
Hukawii kukimbilia lile liaidii lako. ππTutajuana bdae
Mechi haina hadhi ya kuwekwa live. Timu ndogo hizi
Subiri wafunge utaona Uto humuMbona uzi umepoa sana kulikoni
π€£ππππMechi haina hadhi ya kuwekwa live. Timu ndogo hizi
Atatoka huyu anazingua sana yaaniFarid Mussa anashindwa kutumia akili kubwa kama wenzie wakina Yao
Beki wanakabia macho tu leoHii beki ya gift na kipa metacha kuna hati hati tukatanguliwa hata goal 2 leo