FT: Kagera sugar FC 0-0 Yanga SC | NBC premier League | Kaitaba stadium | 02.2.2024

FT: Kagera sugar FC 0-0 Yanga SC | NBC premier League | Kaitaba stadium | 02.2.2024

Acha uchawi wewe... Draw Moja loss Moja msimu mzima unalia Lia
 
Acha uchawi wewe... Draw Moja loss Moja msimu mzima unalia Lia
 
siku zako zinahesabika.timu haina ubunifu kabisa
Sio kocha mbaya, ila ana mentality ya kudharau timu na kujiamini zaidi. Leo timu imekuwa na kiwango kibovu sana kwasababu ya kukosa match fitness.
 
Bahasha FC mna hali mbaya...
Labani og
Tate Mkuu
Watani zangu mpo vijijini network haishiki nini?.
Angalia gap la point kati ya timu yako na Yanga ndipo utagundua bado mna mlima mrefu wa kupanda.

Kupata pointi moja, siyo mbaya kwa timu iliyokuwa inapoteza muda tangu dakika za mwanzo.
 
Angalia gap la point kati ya timu yako na Yanga ndipo utagundua bado mna mlima mrefu wa kupanda.

Kupata pointi moja, siyo mbaya kwa timu iliyokuwa inapoteza muda tangu dakika za mwanzo.
Gape itafukiwa..hapo mna mechi kama 2 mtakandwa...
Kila la heri mtani
 
Gamondi Sio Kocha....!

Ukifuatilia Fani yake ni utaalamu wa Kuuza Matikiti maji...!

Kabobea kwenye tasnia ya Uuzaji Matikiti..!
 
Back
Top Bottom