FT: Kagera sugar FC 0-2 Yanga SC | NBC Premier League | Kaitaba Stadium | 29.08.2024

Vincenzo Jr

Platinum Member
Joined
Sep 23, 2020
Posts
24,262
Reaction score
58,728
πŸ”°πŒπ€π“π‚π‡ πƒπ€π˜πŸ”°

πŸ† #NBCPremierLeague
⚽️ Kagera sugar FCπŸ†šYanga Sc
saa 11 kamili jioni


Kikosi kinachoanza dhidi ya Kagera Sugar#TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko


mpira umeanza
dakika ya 5
dube anakosa goli la wazi

dakika ya 10
kagera sugar 0-0 yanga sc

dakika ya 19
dube anakosa goli la wazi

dakiak ya 26
goaaaaal max nzengeli

dakika ya 33
Kgr 0-Yng

dakika ya 40
pacome anakosa goli la wazi

𝐇𝐀𝐋𝐅 π“πˆπŒπ„
Kagera Sugar 0-1 Young Africans SC


kipindi cha pili kimeanza
dakika ya 47

dakika ya 48
Kgr0-Yng 1

dakika ya 50
yanga sc wanafanya mashambulizi

dakika ya 60
kagera sugar waafanya mashambulizi

dakika ya 63
kgr0-Yng 1

dakika ya 70
yng wanafanya mashambulizi

dakika ya 75
kgr0-Yng 1

dakika ya 85
kgr0-Yng 1

dakika ya 88
gooooooal mzize chuma cha pili

dakika ya 90+5
𝐅𝐔𝐋𝐋 π“πˆπŒπ„β±οΈ| #NBCPremierLeague

Kagera Sugar 0-2 Young Africans SC

#TimuYaWananchi
#DaimaMbeleNyumaMwiko
 
Naam mwananchi uliyekuwepo nje ya nchi au nje ya kusini mwa jangwa la sahara Mimi brand ambassador kutoka kigamboni nakupatia link ya Azam max web kwa shilingi elfu 23 utaweza kuona mechi zote live na kutazama burudani mbalimbali Azam tv burudani kwa wote


Kama unatumia kwa tv unga kadi yako na Azam max web ili upate burudani Cc ephen_
 
LIGI KUU inaanza rasmi baadae, ushauri wa bure kwa vilabu vyote vinavyoshiriki NBC PL ni kuacha kuzifananisha timu zao na Yanga. Mkianza kuwafananisha akina Diarra, Job, Aucho, Maxi, Paccome, Ki, Chama, Dube na wachezaji wengine mtaishia kufukuza kila kocha. Tengenezeni timu zenu. Cc Shadeeya Carleen ephen_ Bantu Lady adriz Mr Q kiwatengu Nifah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…