FT: Kagera sugar FC 0-2 Yanga SC | NBC Premier League | Kaitaba Stadium | 29.08.2024

FT: Kagera sugar FC 0-2 Yanga SC | NBC Premier League | Kaitaba Stadium | 29.08.2024

Tangu ligi imeanza hakujakuwa na malalamiko kwa Waamuzi kwamba wanakosea,sasa kuanzia leo hali hiyo iendelee,sio wanapocheza Yanga ndio kuwe na makosa ya maamuzi mnayosemaga ni makosa ya kibinadamu
 
Kagera pigeni hao vijana wa jangwani 🐸🐸🐸🐸🐸
 
🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇 𝐃𝐀𝐘🔰

🏆 #NBCPremierLeague
⚽️ Kagera sugar FC🆚Yanga SC
📆 29.08.2024
🏟 Kaitaba Stadium

🕖11:00 jioniView attachment 3081842
Huyu Azam naye ni kama makampuni ya kinyonyaji ya simu.unapandisha vifurushi bila kujali hali ya watanzania ikoje.unakamua maskini mpaka wanashindwa hata kujikimu halafu mnajinasibu eti ni wacha Mungu mcha Mungu anawabia wananchi maskini!
 
We nitumie ubao wa bureau yoyote hapo jijini kwenu mengine niachie
Mtaani kwangu kigamboni mie naendaga bank ya Crdb tu cheki viwango vya Leo tarehe 29 hapa chini

Mtaani kwangu kigamboni mie naendaga bank ya Crdb tu cheki viwango vya Leo tarehe 29 hapa chini

Hivi wachezaji walioitwa kwenye timu zao za nchi.. Watakosa mchezoni leo?
 
Mtaani kwangu kigamboni mie naendaga bank ya Crdb tu cheki viwango vya Leo tarehe 29 hapa chini

Asante sana kijana mzuri
 
Back
Top Bottom