Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
babu andika saa moja sio hiyo uliyoandika uko vyombo nini..??🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇 𝐃𝐀𝐘🔰
🏆 #NBCPremierLeague
⚽️ Kagera sugar FC🆚Yanga SC
📆 29.08.2024
🏟 Kaitaba Stadium
🕖11:00 jioni
Tujiandae na maigizo sasa.Ligi Kuu ndio inaanza leo sasa, yale mabolizozo yalikuwa yanacheza bonanza la ufunguzi wa ligi.
Una uhakika?babu andika saa moja sio hiyo uliyoandika uko vyombo nini..??
Mambo V, naomba unisaidie bei ya dola wanauza na wananunua kwa bei gani, kwenye hivyo viubao vyao, asanteUna uhakika?
Mambo V, naomba unisaidie bei ya dola wanauza na wananunua kwa bei gani, kwenye hivyo viubao vyao, asante
Na kumkumbusha tu huyo hapo juu ni kwamba wenye nafasi yetu tumerudi.LIGI KUU inaanza rasmi baadae, ushauri wa bure kwa vilabu vyote vinavyoshiriki NBC PL ni kuacha kuzifananisha timu zao na Yanga. Mkianza kuwafananisha akina Diarra, Job, Aucho, Maxi, Paccome, Ki, Chama, Dube na wachezaji wengine mtaishia kufukuza kila kocha. Tengenezeni timu zenu. Cc Shadeeya Carleen ephen_ Bantu Lady adriz Mr Q kiwatengu Nifah View attachment 3081736
Hizi bei sio za mtaani nataka za mtaani hebu nisaidie nina jambo serious
Wale wa mtaani skuizi hawapo ndugu nenda nayo bank hiyo dollar tu ukauzeHizi bei sio za mtaani nataka za mtaani hebu nisaidie nina jambo serious
Naunga mkono hojaNa kumkumbusha tu huyo hapo juu ni kwamba wenye nafasi yetu tumerudi.
Bei za kitaa ndo zinazotumika kwenye kufanya manunuzi, hata huko kwenye mabenki wanatumia hizo hizo achana na hizo za benki kuu, usinifanyie hivyo,Wale wa mtaani skuizi hawapo ndugu nenda nayo bank hiyo dollar tu ukauze
Usithubutu watakupa hela ndogo nduguBei za kitaa ndo zinazotumika kwenye kufanya manunuzi, hata huko kwenye mabenki wanatumia hizo hizo achana na hizo za benki kuu, usinifanyie hivyo,
Wale wa mchongo kimbia bank fasta tu wanakupa pesa yako ya kibongoWa mtaani hawana dola lakini bei wanaweka daily Vincenzo Jr