uran
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 10,392
- 15,948
Fountain Gates tunajipigia Namungo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fountain Gates tunajipigia Namungo
Hapa tz timu ni moja tu, hivyo vingine vyote vikundi vya wahuni, na vikundi vya mikopo.Fountain Gates tunajipigia Namungo
Naweka laki moja twende hospitali yoyote ile wakigundua kichwani una ubongo na sio matope, pesa yako.umeandika utumbo gani hapa?
Simba Sports Club!!Hapa tz timu ni moja tu, hivyo vingine vyote vikundi vya wahuni, na vikundi vya mikopo.
Kikundi cha wahuni.....wanaojiita timu, kazi kufungwa tu na kusingizia sijui wachezaji hawana chemistry mnataka chemistry kwani mimba hiyo???Simba Sports Club!!
Huyu mwamba anaitwa timu ya taifa pale wenzake wakiwa majeruhi. Wakiwa wazima aaah!Aya uyu Kagera Sugar tumemlaliza kama akiinuka tinamshindilia mijigumi.
NANI ANAFATA??🤨View attachment 3082245
Timu zote za bongo ikiongozwa na kagera/azam/Simba Ihefu aisee wanaikamiaga Yanga vibaya sana subiri mechi ijayo utaona wamepigwa 4 na timu ya kawaidsHawa Kagera sugar wanavyoikamiaga Yanga utadhani wameambiwa wakimfunga Yanga wanachukua ubingwa😃 haya ngoja tuone kama wataendelea hivi na Tabora utd
Naona hata tulivyowafunga 5 tulibebwa na refa.Yanga hii ya kawaida sana ila mbeleko za waamuzi zinawaweka mjini
Huna akili wwAZIZI KI NI TAKATAKA KABISA
LEO HAKUNA ALICHOKUWA ANAKIFANYA UWANJANI JAPOKUWA KATOKA NA ASSIST
Mpira hauko hivyo bro.Yanga kwa level yake awe anapiga 5 kuendelea
Hongera mwenye akiliHuna akili ww
Alichokifanya si ndio assist yenyewe ya goli