FT: Kagera sugar FC 0-2 Yanga SC | NBC Premier League | Kaitaba Stadium | 29.08.2024

FT: Kagera sugar FC 0-2 Yanga SC | NBC Premier League | Kaitaba Stadium | 29.08.2024

Kocha alipaswa ampumzishe kipindi cha kwanza tu

Badala yake kamaliza dakika 90 za nyongeza ndio akatolewa
Kwani kipindi cha pili Yanga ilizidiwa wapi.......? Sababu hata walio ingia hawa kuleta mabadiliko makubwa.......

Walicho faninikiwa kukata supply mipira yote inayo fika kwa Chama,Aziz na Dube na hilo walilifanya kwa usahihi, sema tu mistake ndogo ndiyo iliyo wacost, ya kumwachia space Aziz K then pasi ilipo mfikia akajua pakuipeleka. Sub ambayo ilileta mabadiliko chanya labda uniambie Mzize, sababu yy mwenyewe anajua kudrible mpira umbali mrefu, hata goli lilipatikana baada ya kudrible mpira then kampa Aziz,akakaa kwenye nafasi then Aziz akamwekea.

Hapo ndipo ujue mchezaji mkubwa ni mkubwa sometimes anahitaji nafasi moja kukuonyeshea ukubwa wake, Aziz angetoka na Asist mbili sema tu Dube pass ya Aziz hakuuweka mpira nyavuni.

Kwangu Kagera wametoa upinzani mzuri, japo wamepigwa.
 
Hawa Kagera sugar wanavyoikamiaga Yanga utadhani wameambiwa wakimfunga Yanga wanachukua ubingwa😃 haya ngoja tuone kama wataendelea hivi na Tabora utd
 
Back
Top Bottom