FT: Kagera sugar FC 0-2 Yanga SC | NBC Premier League | Kaitaba Stadium | 29.08.2024

FT: Kagera sugar FC 0-2 Yanga SC | NBC Premier League | Kaitaba Stadium | 29.08.2024

Tatizo ni muanzisha thread.. amepoteza credit ya kuaminiwa hatuwezi mpa live ..
 
Dogo vipi matokeo ya mtihani?

Ni app gani naweza kuiona live?
Wewe Kenge mpaka huku unakuja kuleta fujo ? yametoka juzi nimefaulu vizuri Alhamdulillah naendelea mwaka wa mwisho nikimaliza likizo.
 
P R A Y F O R Y A N G A# kwa hakika Kagera tunachukua point tatu
 
Back
Top Bottom