FT: Kagera sugar FC 0-2 Yanga SC | NBC Premier League | Kaitaba Stadium | 29.08.2024

Kabisa, halafu hawajui kama Max anatokea Bukoba
Halafu sielewi kwanini Gongowazi wanakuwa obsessed na live wakati ina rangi nyekundu ambayo haiendani na utamaduni wao.

Hawa waliwahi ku change logo ya Vodacom kwasababu ya rangi nyekundu.

Leo naona inekuwa tofauti yani rangi nyekundu imekuwa kitu cha kulilia na wanapocheleweshewa wanatua na huruma kama wamedhurumiwa haki yao ya msingi.
 
Yanga wametengeneza nafasi nyingi sana za wazi wameshindwa kuzitumia. Mpaka sasa magoli yalistahili kuwa 4+ ni uzembe mkubwa kupoteza nafasi nyingi kiasi hiki
Wameyumba sana kipindi Cha kwanza , Azizi Ki Leo kajituma sana kacheza kitimu hajaleta ubinafsi sehemu ambazo nimezoea kuona anafosi anapiga au kutaka kuleta mambo mengi Leo anatoa pasi na kutengeneza clear chances ila watu wanamuangusha.
 
Ya GSM yenyewe wame change. GSM original colour zao ni red n black
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…