FT: Kagera sugar FC 0-2 Yanga SC | NBC Premier League | Kaitaba Stadium | 29.08.2024

FT: Kagera sugar FC 0-2 Yanga SC | NBC Premier League | Kaitaba Stadium | 29.08.2024

😂😂
Wenye ushawishi ni ninyi wazee wa 'kulalamikia bahasha'..?
Sisi ndio tunazo bahasha
1724534688810.jpg
nyie mnavizia supu za bure, hongereni sana mpo kwenye kikomo chenu cha mafanikio 😁
 
Kabisa, halafu hawajui kama Max anatokea Bukoba
Halafu sielewi kwanini Gongowazi wanakuwa obsessed na live
1724943127109.png
wakati ina rangi nyekundu ambayo haiendani na utamaduni wao.

Hawa waliwahi ku change logo ya Vodacom kwasababu ya rangi nyekundu.

Leo naona inekuwa tofauti yani rangi nyekundu imekuwa kitu cha kulilia na wanapocheleweshewa wanatua na huruma kama wamedhurumiwa haki yao ya msingi.
 
Yanga wametengeneza nafasi nyingi sana za wazi wameshindwa kuzitumia. Mpaka sasa magoli yalistahili kuwa 4+ ni uzembe mkubwa kupoteza nafasi nyingi kiasi hiki
Wameyumba sana kipindi Cha kwanza , Azizi Ki Leo kajituma sana kacheza kitimu hajaleta ubinafsi sehemu ambazo nimezoea kuona anafosi anapiga au kutaka kuleta mambo mengi Leo anatoa pasi na kutengeneza clear chances ila watu wanamuangusha.
 
Halafu sielewi kwanini Gongowazi wanakuwa obsessed na live View attachment 3082211 wakati ina rangi nyekundu ambayo haiendani na utamaduni wao.

Hawa waliwahi ku change logo ya Vodacom kwasababu ya rangi nyekundu.

Leo naona inekuwa tofauti yani rangi nyekundu imekuwa kitu cha kulilia na wanapocheleweshewa wanatua na huruma kama wamedhurumiwa haki yao ya msingi.
Ya GSM yenyewe wame change. GSM original colour zao ni red n black
 
Back
Top Bottom