FT: Kagera sugar FC 0-2 Yanga SC | NBC Premier League | Kaitaba Stadium | 29.08.2024

Ninyi hili swala la utekaji mnalichukuliaje mm Napenda Mpira na yanga ni timu yangu ila sina amani kbsa nikiona watanzania wanzangu wanatekwa na kisha kupotezwa kusiko julikana, nachoka sna napatwa hasira sna natamni hz timu zote zitewa kimataifa
 
We pimbi siku Ke wako akivaa chupi ya kijani usimpelekee moto ili wahuni wakusaidie kazi maana bila shaka hujui hata umuhimu wa mimea na miti ya kijani ndiyo inayokufanya upate hewa nzuri, vivuli, mbao na hata rutuba za ardhi.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Ninyi hili swala la utekaji mnalichukuliaje mm Napenda Mpira na yanga ni timu yangu ila sina amani kbsa nikiona watanzania wanzangu wanatekwa na kisha kupotezwa kusiko julikana, nachoka sna napatwa hasira sna natamni hz timu zote zitewa kimataifa
Ipelewe lawama Yanga.
 
umekosea jukwaa mkuu

kazi kweli kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…