uran
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 10,392
- 15,948
Wanamwangusha au ni ishu ya Uwezo wao?Wameyumba sana kipindi Cha kwanza , Azizi Ki Leo kajituma sana kacheza kitimu hajaleta ubinafsi sehemu ambazo nimezoea kuona anafosi anapiga au kutaka kuleta mambo mengi Leo anatoa pasi na kutengeneza clear chances ila watu wanamuangusha.