Wanamwangusha au ni ishu ya Uwezo wao?Wameyumba sana kipindi Cha kwanza , Azizi Ki Leo kajituma sana kacheza kitimu hajaleta ubinafsi sehemu ambazo nimezoea kuona anafosi anapiga au kutaka kuleta mambo mengi Leo anatoa pasi na kutengeneza clear chances ila watu wanamuangusha.
Unajitia dole na kujinusa mwenyewe.hela nyingi zimeenda bure azam wanaakili sana
Dube, mzize, baleke.hakuna wafungaji
Kikosi cha Champion League 🤣🤣🤣Leo tumezingua
Mnaongoza 1, dk ya 56. Kagera hawaonyeshi dalili ya kulazimisha suluhu wala ushindi.Leo tumezingua
bado badoMnaongoza 1
Utafata wewe nakuambia unafatilia Mpira huku watanzAnia wanatekwa na kuwuuwa wengine kupotezwaaUnaleta shobo kwenye starehe, jukwaa la siasa lipo on nenda kule mkatapike nyongo.
Kwa hyo kutekana ni mamb ya kisiasa hapa hapa nitasukuma agenda mama enu samia a Ache kuteka na kuuwa uwa vijna wetu,Unaleta shobo kwenye starehe, jukwaa la siasa lipo on nenda kule mkatapike nyongo.