FT: Kagera sugar FC 0-2 Yanga SC | NBC Premier League | Kaitaba Stadium | 29.08.2024

FT: Kagera sugar FC 0-2 Yanga SC | NBC Premier League | Kaitaba Stadium | 29.08.2024

πŸ”°πŒπ€π“π‚π‡ πƒπ€π˜πŸ”°

πŸ† #NBCPremierLeague
⚽️ Kagera sugar FCπŸ†šYanga SC
πŸ“† 29.08.2024
🏟 Kaitaba Stadium

πŸ•–11:00 jioniView attachment 3081842
Nikiwa kama mpenzi mkubwa wa sukari ya Kagera nawatakia Kagera Sugar kila lenye heri
 
mini_magick20240829-26278-eh42cy.jpg
 
Wahaya na Wanyambo, pigeni hao vyura. Nyie siyo watu wa kuhongwa supu za vibudu wakati Profesa Rwegasira na usomi wake wote ni mwenyekiti wa kijiji cha Katerero.

Yanga msiniangushe, nimewabetia mjue...
 
Kuna mtu aliwahi kuniuliza hili swali sikuwa na jibu. Hivi unaweza kusubscribe kwa Azam Max bila kuwa na king'amuzi cha nyumbani?
 
Kuna mtu aliwahi kuniuliza hili swali sikuwa na jibu. Hivi unaweza kusubscribe kwa Azam Max bila kuwa na kingamuzi cha nyumbani?
ndio inawezekana mkuu kwa elfu 23 tu unapata burudani popote ulipo
 
Back
Top Bottom