Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Nikiwa kama mpenzi mkubwa wa sukari ya Kagera nawatakia Kagera Sugar kila lenye heriπ°πππππ ππππ°
π #NBCPremierLeague
β½οΈ Kagera sugar FCπYanga SC
π 29.08.2024
π Kaitaba Stadium
π11:00 jioniView attachment 3081842
Umerogwa wewe!!Ligi Kuu ndio inaanza leo sasa, yale mabolizozo yalikuwa yanacheza bonanza la ufunguzi wa ligi.
Kuna mtu aliwahi kuniuliza hili swali sikuwa na jibu. Hivi unaweza kusubscribe kwa Azam Max bila kuwa na king'amuzi cha nyumbani?unaweza kufatilia matangazo live popote ulipo duniani kwa azam max web link kwa chini
kwa elfu 23 tu
ndio inawezekana mkuu kwa elfu 23 tu unapata burudani popote ulipoKuna mtu aliwahi kuniuliza hili swali sikuwa na jibu. Hivi unaweza kusubscribe kwa Azam Max bila kuwa na kingamuzi cha nyumbani?
Kikosi kinaogopesha......
π€£π€£π€£π€£π°πππππ ππππ°
π #NBCPremierLeague
β½οΈ Kagera sugar FCπYanga Sc
saa 11 kamili jioni
View attachment 3081842
Kikosi kinachoanza dhidi ya Kagera Sugar#TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwikoView attachment 3082131
ndio ndioKikosi kinaogopesha......
Kinakuogopesha wewe.Kikosi kinaogopesha......
Inshallah hatudondoshi pointNikiwa kama mpenzi mkubwa wa sukari ya Kagera nawatakia Kagera Sugar kila lenye heri
Sawa sawa. Nashukuru kwa taarifa Bwana Yusuf Bakhresandio inawezekana mkuu kwa elfu 23 tu unapata burudani popote ulipo
Hichi Kikosi kinaitwa Mama Mkanye Mwanao!π°πππππ ππππ°
π #NBCPremierLeague
β½οΈ Kagera sugar FCπYanga Sc
saa 11 kamili jioni
View attachment 3081842
Kikosi kinachoanza dhidi ya Kagera Sugar#TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwikoView attachment 3082131
We nshakuzoea jukwaa zima unaongoza kwa kujifariji πΉπΉ na haujui kukata tamaa.....Kinakuogopesha wewe.
Sio sisi Kagera Sukari
Nimeona Kikosi ni Heavy DutyLIGI KUU inaanza rasmi baadae, ushauri wa bure kwa vilabu vyote vinavyoshiriki NBC PL ni kuacha kuzifananisha timu zao na Yanga. Mkianza kuwafananisha akina Diarra, Job, Aucho, Maxi, Paccome, Ki, Chama, Dube na wachezaji wengine mtaishia kufukuza kila kocha. Tengenezeni timu zenu. Cc Shadeeya Carleen ephen_ Bantu Lady adriz Mr Q kiwatengu Nifah View attachment 3081736