Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtanange mkali sana leo.
21/12/2024.
Hapa Kaitaba Stadium Kagera.
Mwenyeji : Kagera Sugar FC
Mgeni : Simba SC ya Dar Es Salaam
Muda : 10 jioni.
View attachment 3181353
Wasiposhinda rwfa atapereka mpira mpaka dakika ya 100Tunasubiri dkk 90 zitaongea
Agiza pepsi nakuja kulipaWasiposhinda rwfa atapereka mpira mpaka dakika ya 100
Ikishindikana atatoa penati au red card
Ahoua atafunga kwa penati na watashangilia kama wehu
Haya Kanywe na panadalWasiposhinda rwfa atapereka mpira mpaka dakika ya 100
Ikishindikana atatoa penati au red card
Ahoua atafunga kwa penati na watashangilia kama wehu
Wewe mambo ya Simba yanakuhusu niniHivi mpanzu alisha anza kucheza?