L Lee Van free JF-Expert Member Joined Aug 14, 2024 Posts 1,535 Reaction score 5,332 Dec 21, 2024 #381 Scars said: Tulia wewe huyu jamaa anapitia mpito tu Click to expand... Safi kabisa. Hata dube ,mukwala na wengine walikua hivi.
Scars said: Tulia wewe huyu jamaa anapitia mpito tu Click to expand... Safi kabisa. Hata dube ,mukwala na wengine walikua hivi.
Ndengaso JF-Expert Member Joined Jul 18, 2014 Posts 7,831 Reaction score 14,259 Dec 21, 2024 #382 5-2=3 🚮
L Lee Van free JF-Expert Member Joined Aug 14, 2024 Posts 1,535 Reaction score 5,332 Dec 21, 2024 #383 Allen Kilewella said: Mukwalaaaa😀😄😀😄😃 Kafunguliwaaaaaa🏃🏃 Click to expand... Kuna watu walisema huyu nae Hana faida Simba
Allen Kilewella said: Mukwalaaaa😀😄😀😄😃 Kafunguliwaaaaaa🏃🏃 Click to expand... Kuna watu walisema huyu nae Hana faida Simba
Be calm JF-Expert Member Joined May 20, 2023 Posts 3,766 Reaction score 8,959 Dec 21, 2024 #384 To yeye said: Chamaaaaaaaa Click to expand... Proved usishangae,namkumbusha tu alichokimbia timu yake ni nini haswa
To yeye said: Chamaaaaaaaa Click to expand... Proved usishangae,namkumbusha tu alichokimbia timu yake ni nini haswa
V Vikintu JF-Expert Member Joined May 26, 2021 Posts 2,051 Reaction score 3,162 Dec 21, 2024 #385 Makavuli said: Yanga waliangushwa na eneo la golikipa na sio timu kiujumla,,yale magoli 2 waliyofunga mashujaa angekuwepo diarra asingefungwa magoli kama yale,,,Simba yenyewe imekamilika na kipa wao namba Moja yupo ivyo usilinganishe ivyo vitu Click to expand... Goli 03 za Tabora alifungwa nani? Upenzi wa timu usikutie upofu kijana.
Makavuli said: Yanga waliangushwa na eneo la golikipa na sio timu kiujumla,,yale magoli 2 waliyofunga mashujaa angekuwepo diarra asingefungwa magoli kama yale,,,Simba yenyewe imekamilika na kipa wao namba Moja yupo ivyo usilinganishe ivyo vitu Click to expand... Goli 03 za Tabora alifungwa nani? Upenzi wa timu usikutie upofu kijana.
SAYVILLE JF-Expert Member Joined Mar 25, 2010 Posts 7,895 Reaction score 12,975 Dec 21, 2024 #386 Mac Alpho said: Chasambi atakuja kuwa player wa moto sana, nadhani kuna mtu kamshauri kuhusu lile swala lake la uchoyo. Click to expand... Ninachompendea Chasambi huwa haogopi kuingiza miguu yake katika mipira ya kugombania au kulazimisha foul. Huyu na Kibu ni baba mmoja mama mbalimbali.
Mac Alpho said: Chasambi atakuja kuwa player wa moto sana, nadhani kuna mtu kamshauri kuhusu lile swala lake la uchoyo. Click to expand... Ninachompendea Chasambi huwa haogopi kuingiza miguu yake katika mipira ya kugombania au kulazimisha foul. Huyu na Kibu ni baba mmoja mama mbalimbali.
Kiweriweri JF-Expert Member Joined Jan 3, 2012 Posts 2,150 Reaction score 3,086 Dec 21, 2024 #387 Ndengaso said: 5-2=3 🚮 Click to expand... Mpira/soccer ni magoli
ukikaidi utapigwa2 JF-Expert Member Joined Feb 24, 2015 Posts 15,265 Reaction score 29,991 Dec 21, 2024 #388 Mechi ingeisha 1-5 ingependeza
FYATU JF-Expert Member Joined Dec 7, 2011 Posts 5,567 Reaction score 4,683 Dec 22, 2024 #389 Bado nina imani kubwa sana na Mutale,kuliko hata Mukwala.Ni suala la muda tu na kutengenezwa kisaikolojia.
Bado nina imani kubwa sana na Mutale,kuliko hata Mukwala.Ni suala la muda tu na kutengenezwa kisaikolojia.