Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Mimi sitaki mkuu , ubaya ubwela tu
Kwa hiyo magoli ya penati hayafai kushangiliwa?Ahoua atafunga kwa penati na watashangilia kama wehu
Mimi sitaki mkuu , ubaya ubwela tu
Wasaliti ni wengi πββοΈ
Kaka kwema π π πWasaliti ni wengi πββοΈ
Naona umehamia kambi ya wajanja baada ya Uto kukuzingua na magoli ya Dube aliyeombewa kwa Mungu usiyemtambua ππ
Kwema. Naona umetukimbiaKaka kwema π π π
Hamna nawapa Kila la kheri watani zangu HawaππKwema. Naona umetukimbia
Mtapigwa kama ngoma.SIMBAβ€β€β€π¨πππ¨πͺπΏView attachment 3181354
Wazee wa fix tu hao.Hivi mpanzu alisha anza kucheza?