FT: Kagera Sugar FC 2-5 Simba SC | NBC Premier League | Kaitaba Stadium | 21 Dec 2024

FT: Kagera Sugar FC 2-5 Simba SC | NBC Premier League | Kaitaba Stadium | 21 Dec 2024

Kagera wakitulia hawakosi goli 3 hadi 4 leo.
 
Kagera Sugar wangekuwa na mtu kama Prince Dube yamkini leo wangeondoka na ushindi hata wa goli 4.
 
Huyu Elie Mpunzani hana utofauti mkubwa na Mutale.
 
Refa awe fair. Kagera tutachukua ushindi mapema.
 
Washaija msituangushe. Ushindi kwa timu ya nyumbani.
Wakola waitu, Leo lazima Kagera wamwage maji kwenye mashamba ya miwa sio kijiji cha Katerero

Simbaaaaaaa guvu moya
Itapendeza kipindi cha kwanza goli 1 na kpndi cha 2 ni 2
Mtanange mkali sana leo.
21/12/2024.

MCHEZO WA LIGI KUU TANZANIA BARA.

Uwanja : Kaitaba Stadium Kagera
.
Mwenyeji : Kagera Sugar FC
Mgeni : Simba SC ya Dar Es Salaam
Muda : 10 jioni.


View attachment 3181655
Leo Kagera wanamwaga maji kwenye mashamba ya miwa na sio kijiji cha Katerero
 
  • Thanks
Reactions: BRN
David Luhende anapga kona, hatari kwa lango la Simba.
 
Hatari kwa Lango la Simba hapa. Simba wanahema kweli kweli.
 
Game ya mwisho kupigwa hapa Kaitaba baina ya Kagera na Simba ilikuwa ni draw.
 
Back
Top Bottom