FT: Kagera Sugar FC 2-5 Simba SC | NBC Premier League | Kaitaba Stadium | 21 Dec 2024

FT: Kagera Sugar FC 2-5 Simba SC | NBC Premier League | Kaitaba Stadium | 21 Dec 2024

Kikosi changu cha kuanza cha Simba na Kagera.

1. Kamala -spider man
2. Husein- shabalala
3. Kapombe-mpambanaji
4. Hamza-beki makini
5. Chamou-beki lenye nguvu
6. Kagoma-mkabaji mahili
7. Dr. Lucho Awesu Iniesta
8. Ngoma-mutu ya kazi
9. Ateba-mtupiaji
10. Mavambo Fernandez Xavi
11. Vallentino Nouma
(Kibu D. akae jukwaani kabisa apumzike)
huku kushoto Husein akipanda, Nouma anarudi kukaba kutakuwa kwa moto sana.
Dr. Lucho atakuwa anawalainisha huku kulia ili wajisahau amwage maji.
Kagera kwa Simba ni wagumu sana hasa wakiwa kwao hivyo wanatakiwa kuwekewa watu wa kazi ngumu tu.
Cc Matola.
Good morning! 🌞 🦁 ☕️ Created with @adobe_firefly.jpeg
 
Back
Top Bottom