ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
Hayawiii Hayawiii, Siku Imewadia, Ni mtanange wa Kukata Na Shoka Katika Ya Kagera Sugar na Yanga, Timu hizi Zinakutana zote zikiwa na Wachezaji Wengi Wapya.
Uwanja Mzuri, Teams Nzuri Zikicheza leo Pale Kaitaba Kagera.
Je Timu ya Wananchi Itaanza Vizuri Mchezo wake wa Kwanza Wa Ligi Kuu? Au Itamfuata Mtani Wake, Ni suala La Muda
Tuwe Pamoja Hapa Kwa Dakika 90
Here We go…View attachment 1957228
View attachment 1957229
Goli la Feisal Salum dakika ya 24 lilitosha kuizamisha Kagera na kuipa Yanga alama tatu muhimu kwenye mchezo wake wa kwanza wa ligi kuu kwenye uwanja wa Kaitaba mkoani Kagera.
Kagera Sugar 0-1 Yanga
24' Feisal Salum