FT: Kagera Sugar Vs Yanga(0-1) | Ligi kuu Bara | Kaitaba

FT: Kagera Sugar Vs Yanga(0-1) | Ligi kuu Bara | Kaitaba

Bao lilikuaje wakuu ? Bonge la shuti ? Wengine tupo mbali na Tv , itakuwa bonge la move .
 
Bao lilikuaje wakuu ? Bonge la shuti ? Wengine tupo mbali na Tv , itakuwa bonge la move .

Hadi sasa Sijaona Kitu cha ajabu walichokifanya Yanga. Inashangaza kuona Simba Alifungwa Vipi na Yanga Hii.

Goli ni Uzembe wa Beki mmoja Wa Kagera, Karudishiwa mpira akiwa Peke Yake, Akaremba remba Yacouba Akamtisha akachukua Mpira akampa mayele Mayele Akapiga shot kipa kacheza wakati anarudi kujiandaa tena Fistoni kaunga Ikawa Goli. Ila hili ni Goli la Uzembe Sana

Hadi sasa Game Hii Kagera Akitulia Anarudisha Goli.
 
Tatizo la Uto ni kufunga goli moja yani wao wazee wa Kimoko tu! Hii inatia mashaka kuhusu uwezo wao
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Back
Top Bottom