FT: Kagera Sugar Vs Yanga(0-1) | Ligi kuu Bara | Kaitaba

FT: Kagera Sugar Vs Yanga(0-1) | Ligi kuu Bara | Kaitaba

Sikuwahi kuwa na timu kama labda nilivyo shabiki lialia wa Man United..

Sasa imetokea tu saivi nimekuwa na mahaba na Yanga..acha nikae hapa.
Karibu mkuu...! Ila hujatoka mikia kweli wewe mkuu?
 
Hadi sasa Sijaona Kitu cha ajabu walichokifanya Yanga. Inashangaza kuona Simba Alifungwa Vipi na Yanga Hii.

Goli ni Uzembe wa Beki mmoja Wa Kagera, Karudishiwa mpira akiwa Peke Yake, Akaremba remba Yacouba Akamtisha akachukua Mpira akampa mayele Mayele Akapiga shot kipa kacheza wakati anarudi kujiandaa tena Fistoni kaunga Ikawa Goli. Ila hili ni Goli la Uzembe Sana

Hadi sasa Game Hii Kagera Akitulia Anarudisha Goli.
Tupo pamoja mkuu
 
Haya mambo wanayoyafanya wachezaji wa Yanga uwanjani, wakikaa pamoja msimu mzima bila kuuzwa mchezaji basi watatisha sana. Uvumilivu tu inatakiwa
 
Yanga hawana maajabu basi tu walituotea..wanakata moto kipindi cha pili..yaani kama sio ile misumari waliowapiga baadhi ya wachezaji wa simba siku ile wangetoka na aibu ukizingatia presha ya mashabiki kwa kipindi kile.
 
Hadi sasa Sijaona Kitu cha ajabu walichokifanya Yanga. Inashangaza kuona Simba Alifungwa Vipi na Yanga Hii.

Goli ni Uzembe wa Beki mmoja Wa Kagera, Karudishiwa mpira akiwa Peke Yake, Akaremba remba Yacouba Akamtisha akachukua Mpira akampa mayele Mayele Akapiga shot kipa kacheza wakati anarudi kujiandaa tena Fistoni kaunga Ikawa Goli. Ila hili ni Goli la Uzembe Sana

Hadi sasa Game Hii Kagera Akitulia Anarudisha Goli.
Basi hukushuhudia ile game kwa utulivu. Ile game YANGA wangetulia vizuri wawe wanashambulia kwa mkupuo,wangepata mabao hata 3.
 
Tatizo la Uto ni kufunga goli moja yani wao wazee wa Kimoko tu! Hii inatia mashaka kuhusu uwezo wao
Kumbuka hii Yanga ni tofauti na Simba ambayo imeweka kambi Morocco takribani mwezi mzima na kucheza mechi mbili za kirafiki za kimataifa. Haikutosha ikaenda kambi Arusha na kucheza mechi za kirafiki tatu. Kama tumekuwa na maandalizi hafifu ya timu lakini tunashinda kimoko. Je tungekuwa na maandalizi kama walivyofanya Simba ingekuaje!
 
Kumbuka hii Yanga ni tofauti na Simba ambayo imeweka kambi Morocco takribani mwezi na kucheza mechi mbili za kirafiki za kimataifa. Haikutosha ikaenda kambi Arusha na kucheza mechi za kirafiki tatu. Kama tumekuwa na maandalizi hafifu ya timu lakini tunashinda kimoko. Je tungekuwa na maandalizi kama walivyofanya Simba ingekuaje!
ndio maana hampo champions League coz ya kusifia huu ujinga. Teams need prep for better performances. Kumfunga Simba haimaanishi mko vizuri. no. Effects za kutofanya mechi za kutosha za preparation zitaonekana league inavyosonga. mark my words.
 
Back
Top Bottom