changaule
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 6,039
- 10,151
Yanga hawapo champions league kwasababu walifeli kwenye maandalizi ya timu na ndio maana kocha kakiri wazi kuwa anahitaji miezi mitata ili timu iwe na muunganiko mzuri. Lakini tujiulize pia swali kwanini Simba ambao waliwekeza zaidi kwenye maandalizi ya timu, wana struggle kupata matokeo?ndio maana hampo champions League coz ya kusifia huu ujinga. Teams need prep for better performances. Kumfunga Simba haimaanishi mko vizuri. no. Effects za kutofanya mechi za kutosha za preparation zitaonekana league inavyosonga. mark my words.