Acha roho mbaya mtaniSubiri sare yako nyingine Ijumaa dhidi ya Dodoma Jiji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha roho mbaya mtaniSubiri sare yako nyingine Ijumaa dhidi ya Dodoma Jiji
Hawakubali ukweli.kuwa timu yao haipo kama wanavyoipambaAcha roho mbaya mtani
Sawa mkuu Yanga ni mbovu, Sasa embu tuambie basi wewe kwa muono wako timu gani unayoiona ni nzuri?Mkuu kwa yanga hii mbovu bado.kagera timu.ya kawaida ila imewazidi pasi.hata ball possession nadhani.wamewazidi na.ubaya uwanja mzuri.ila hamna kitu. Hivi.ile timu.iliyokua unasifiwa saana ndio hii.imecheza leo..?
Sio roho mbaya ila kwasababu ameongea kiushabiki na mimi nimejibu kiushabiki hivyo hivyoAcha roho mbaya mtani
Timu hazijaonesha uzuri wao bado ligi ipo mwanzoni.hivyo.timu zinazotegemewa bado hazijatupatia kitu cha kutuaminisha kuwa ni.bora nadhani tuzidi kujipa muda mwanzo.mgumu. ku hukumu timu yoyoteSawa mkuu Yanga ni mbovu, Sasa embu tuambie basi wewe kwa muono wako timu gani unayoiona ni nzuri?
Geita goldMechi ijayo.yanga anacheza na nani..?
Wafuasi wa simba bwana [emoji23][emoji23][emoji23]Timu hazijaonesha uzuri wao bado ligi ipo mwanzoni.hivyo.timu zinazotegemewa bado hazijatupatia kitu cha kutuaminisha kuwa ni.bora nadhani tuzidi kujipa muda mwanzo.mgumu. ku hukumu timu yoyote
Hahah hao wanakuacha kweli mabwenyenye wa madini na ipo.ueginini au homeGeita gold
Ukweli.usemwe bado saana kusema timu hii ni.bora kwa kuangalia mechi hizi moja mojaWafuasi wa simba bwana [emoji23][emoji23][emoji23]
Wasifie tu ila wakati utaongea!.Hawakubali ukweli.kuwa timu yao haipo kama wanavyoipamba
Ukweli Leo mmecheza vibaya.Wana
Sio roho mbaya ila kwasababu ameongea kiushabiki na mimi nimejibu kiushabiki hivyo hivyo
Sasa kama unajua muda bado, kilicho kuaminisha na kuhitimisha Yanga ni mbovu ni kipi? Unaweza kulinganisha muda ulitumika kwa Yanga katika kujianda (pre season) dhidi ya muda uliotumika kwa simba kwenye kufanya maandalizi ya timu?Timu hazijaonesha uzuri wao bado ligi ipo mwanzoni.hivyo.timu zinazotegemewa bado hazijatupatia kitu cha kutuaminisha kuwa ni.bora nadhani tuzidi kujipa muda mwanzo.mgumu. ku hukumu timu yoyote
Hqkika. Muda utatupa ukweli. Tuzidi kuwa na subraWasifie tu ila wakati utaongea!.
Naomba niwe mwalimu wako wa kukufundisha historia ya Timu ya Yanga aka Timu ya Wananchi. Una sifa zote za kuitwa Mwananchi hodari.Weee ! Achana nayo shangilia Yanga.
Mkuu Yanga haina pre season nzuri na hilo unalijua na hata kocha wetu kaliongea kwamba tunahitaji miezi mitatu na wala hatuna muunganiko kabisaSawa Mkuu sisi sare ndio mwanzo.wetu wala hatunaga kukataa matokeo yetu ila muda utakuja kutupa ukweli baadae yunaomba tu zile lawama za kumlaumu karia, TFF bodibya ligi.mwaka huu si siwepo maana sijaona kiukweli timu ya kuwa bingwa kwa yanga hii
Kwa mchezo wa leo.yanga walikua wabovu saana. Hilo.lipo wazi maboresho yana hitajika saana kwa maana leo.mumcheza na.timi ndogo.sana hivyo kiufundi ilitakiwa mshinde nyingi na sio.wao.kuwazidiSasa kama unajua muda bado, kilichopo kuaminisha na kuhitimisha Yanga ni mbovu ni kipi? Unaweza kulinganisha muda ulitumika kwa Yanga katika kujianda (pre season) dhidi ya muda uliotumika kwa simba kwenye kufanya maandalizi ya timu?
Hapo sawa kuna wale wasiokubali hili unalosema weweMkuu Yanga haina pre season nzuri na hilo unalijua na hata kocha wetu kaliongea kwamba tunahitaji miezi mitatu na wala hatuna muunganiko kabisa
Thubutu!!! Bora nishabikie AzamNaomba niwe mwalimu wako wa kukufundisha historia ya Timu ya Yanga aka Timu ya Wananchi. Una sifa zote za kuitwa Mwananchi hodari.
Kumbe mkuu umetawaliwa na mahaba au unakariri. Timu ndogo zinapocheza na timu kubwa zinakamia. Kagera sio timu ndogo, kumbuka msimu uliopita Simba walivyocheza nao pale taifa mpaka penati ndio inaamua matokeo ya ushindi kwa Simba.Kwa mchezo wa leo.yanga walikua wabovu saana. Hilo.lipo wazi maboresho yana hitajika saana kwa maana leo.mumcheza na.timi ndogo.sana hivyo kiufundi ilitakiwa mshinde nyingi na sio.wao.kuwazidi
Sio kagera sasa tumeangalia mpira kagera haja kukamia mzee baba jana uliona biashara alivyo kaza yaani ile ile lakn kagera hajakaza kivileKumbe mkuu umetawaliwa na mahaba au unakariri. Timu ndogo zinapocheza na timu kubwa zinakamia. Kagera sio timu ndogo, kumbuka msimu uliopita Simba walivyocheza nao pale taifa mpaka penati ndio inaamua matokeo ya ushindi kwa Simba.
Halafu kitu kingine ni kwamba Yanga hakucheza vibaya isipokuwa kuna tatizo lipo tu kwa ma play maker mahili ambao wanaweza kutengeneza mashambulizi ambayo yatamfanya Mayele kupata clear chances. Yacouba alikuwa ana maliza mechi ndani ya kipindi cha kwanza. Ni swala la muda na team selection ikifanyika ipasavyo