permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Azam haina mashabiki, unawaona ni wale wa Simba wasiokubaliana na yanayoendelea hapo kwenye club.Thubutu!!! Bora nishabikie Azam
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Azam haina mashabiki, unawaona ni wale wa Simba wasiokubaliana na yanayoendelea hapo kwenye club.Thubutu!!! Bora nishabikie Azam
Timu tunaikabili kadiri inavyokuja.Wale kagera wangekuwa na wafungaji wazuri mngekaa maana walikua wanakamata katikati vzr ila tu umaliziaji wao hawako.sawa
Haya.Azam haina mashabiki, unawaona ni wale wa Simba wasiokubaliana na yanayoendelea hapo kwenye club.
Naumiaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Sisi tuna watu wewe
Yule Nchimbi mmmh mganga wake nomaaMm huwa nasema nchimbi ana mganga noma sana daah yaani bora ya molinga
Mkuu tujipe muda afu mwisho wa msimu tukiwa wazima tutakuja tena hapa hapa JF kupeana makonde yaliyo shibaKwa hiyo na msimu huu unatarajia kupata viporo vingine, yaliyotokea misimu kadhaa yaache hivyo hivyo kwani hayatajirudia siku za hivi karibuni.
Tupeni huyu mtu kwenye dirisha dogo muone moto wake.Halafu kwanini yeye jezi yake anavaga mikono mirefu tu au ana hirizi nini inayomsaidia kubakia Yanga ? Maana wanaondoka wachezaji lakini yeye mbovu kabisa hata ku control mpira hajui anabakia kila msimu. Mganga wake kiboko na makocha lazima kwenye sub zake lazima huyu mtu awepo aingie.
Utaambiwa kitaalamu nchimbi ni aina ya washambuliaji wa kisasa wanosumbua na kuwafanya mabeki wa pembeni wasipande[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] tumejaaliwa mmoja tu hapa Tanzania.Halafu kwanini yeye jezi yake anavaga mikono mirefu tu au ana hirizi nini inayomsaidia kubakia Yanga ? Maana wanaondoka wachezaji lakini yeye mbovu kabisa hata ku control mpira hajui anabakia kila msimu. Mganga wake kiboko na makocha lazima kwenye sub zake lazima huyu mtu awepo aingie.
Akili za pancha hizo! Utopolo hiyo ni baiskeli ya barafu, saa sita inayeyuka[emoji23][emoji23][emoji23]too four yangu msimu huu
1:yanga
2:azam
3:biashara
4:mbeya kwanza.
Halafu uwanja mzuriKwa mchezo wa leo.yanga walikua wabovu saana. Hilo.lipo wazi maboresho yana hitajika saana kwa maana leo.mumcheza na.timi ndogo.sana hivyo kiufundi ilitakiwa mshinde nyingi na sio.wao.kuwazidi
Sana pitch limetulia mipango ya mwalimu haiharibiwi na uwanjaHalafu uwanja mzuri
Hamia Yanga uje kunenepa mtoto mzuriNaumiaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kwa Mkapa mbona hamkupata ushindi kwa Mazembe na Yanga?Halafu uwanja mzuri
Endelea kukaririNiwakumbushe tu kuwa hata msimu uliopita utopolo walitangulia mbele kwa baixkeli ya miti!! Kilichotokea kila mmoja anafahamu!! Mwenye baiskeli ya miti hata akitangulia sawa tu!! Hafiki popote!!
Dah! Utakosa mambo mazuri sana msimu huu. Maana hiyo timu yako inaelekea kuwa kama Arsenal!Thubutu!!! Bora nishabikie Azam
Sawa tu ! Muda utaongea.Dah! Utakosa mambo mazuri sana msimu huu. Maana hiyo timu yako inaelekea kuwa kama Arsenal!
Makolo muli bwanji babaaaNiwakumbushe tu kuwa hata msimu uliopita utopolo walitangulia mbele kwa baixkeli ya miti!! Kilichotokea kila mmoja anafahamu!! Mwenye baiskeli ya miti hata akitangulia sawa tu!! Hafiki popote!!