Kumbe mkuu umetawaliwa na mahaba au unakariri. Timu ndogo zinapocheza na timu kubwa zinakamia. Kagera sio timu ndogo, kumbuka msimu uliopita Simba walivyocheza nao pale taifa mpaka penati ndio inaamua matokeo ya ushindi kwa Simba.
Halafu kitu kingine ni kwamba Yanga hakucheza vibaya isipokuwa kuna tatizo lipo tu kwa ma play maker mahili ambao wanaweza kutengeneza mashambulizi ambayo yatamfanya Mayele kupata clear chances. Yacouba alikuwa ana maliza mechi ndani ya kipindi cha kwanza. Ni swala la muda na team selection ikifanyika ipasavyo