FT: Kagera Sugar Vs Yanga(0-1) | Ligi kuu Bara | Kaitaba

Mkuu kwa yanga hii mbovu bado.kagera timu.ya kawaida ila imewazidi pasi.hata ball possession nadhani.wamewazidi na.ubaya uwanja mzuri.ila hamna kitu. Hivi.ile timu.iliyokua unasifiwa saana ndio hii.imecheza leo..?
Sawa mkuu Yanga ni mbovu, Sasa embu tuambie basi wewe kwa muono wako timu gani unayoiona ni nzuri?
 
Timu hazijaonesha uzuri wao bado ligi ipo mwanzoni.hivyo.timu zinazotegemewa bado hazijatupatia kitu cha kutuaminisha kuwa ni.bora nadhani tuzidi kujipa muda mwanzo.mgumu. ku hukumu timu yoyote
 
Wafuasi wa simba bwana [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Timu hazijaonesha uzuri wao bado ligi ipo mwanzoni.hivyo.timu zinazotegemewa bado hazijatupatia kitu cha kutuaminisha kuwa ni.bora nadhani tuzidi kujipa muda mwanzo.mgumu. ku hukumu timu yoyote
Sasa kama unajua muda bado, kilicho kuaminisha na kuhitimisha Yanga ni mbovu ni kipi? Unaweza kulinganisha muda ulitumika kwa Yanga katika kujianda (pre season) dhidi ya muda uliotumika kwa simba kwenye kufanya maandalizi ya timu?
 
Sawa Mkuu sisi sare ndio mwanzo.wetu wala hatunaga kukataa matokeo yetu ila muda utakuja kutupa ukweli baadae yunaomba tu zile lawama za kumlaumu karia, TFF bodibya ligi.mwaka huu si siwepo maana sijaona kiukweli timu ya kuwa bingwa kwa yanga hii
Mkuu Yanga haina pre season nzuri na hilo unalijua na hata kocha wetu kaliongea kwamba tunahitaji miezi mitatu na wala hatuna muunganiko kabisa
 
Sasa kama unajua muda bado, kilichopo kuaminisha na kuhitimisha Yanga ni mbovu ni kipi? Unaweza kulinganisha muda ulitumika kwa Yanga katika kujianda (pre season) dhidi ya muda uliotumika kwa simba kwenye kufanya maandalizi ya timu?
Kwa mchezo wa leo.yanga walikua wabovu saana. Hilo.lipo wazi maboresho yana hitajika saana kwa maana leo.mumcheza na.timi ndogo.sana hivyo kiufundi ilitakiwa mshinde nyingi na sio.wao.kuwazidi
 
Mkuu Yanga haina pre season nzuri na hilo unalijua na hata kocha wetu kaliongea kwamba tunahitaji miezi mitatu na wala hatuna muunganiko kabisa
Hapo sawa kuna wale wasiokubali hili unalosema wewe
 
Kwa mchezo wa leo.yanga walikua wabovu saana. Hilo.lipo wazi maboresho yana hitajika saana kwa maana leo.mumcheza na.timi ndogo.sana hivyo kiufundi ilitakiwa mshinde nyingi na sio.wao.kuwazidi
Kumbe mkuu umetawaliwa na mahaba au unakariri. Timu ndogo zinapocheza na timu kubwa zinakamia. Kagera sio timu ndogo, kumbuka msimu uliopita Simba walivyocheza nao pale taifa mpaka penati ndio inaamua matokeo ya ushindi kwa Simba.
Halafu kitu kingine ni kwamba Yanga hakucheza vibaya isipokuwa kuna tatizo lipo tu kwa ma play maker mahili ambao wanaweza kutengeneza mashambulizi ambayo yatamfanya Mayele kupata clear chances. Yacouba alikuwa ana maliza mechi ndani ya kipindi cha kwanza. Ni swala la muda na team selection ikifanyika ipasavyo
 
Sio kagera sasa tumeangalia mpira kagera haja kukamia mzee baba jana uliona biashara alivyo kaza yaani ile ile lakn kagera hajakaza kivile
 
Back
Top Bottom