FT: Kaizer Chiefs 4-0 Simba SC | Klabu Bingwa Afrika CAFCL | FNB Stadium

Ushaambiwa game saa moja ukawahi ili upate sababu ya kukimbia, mna bahati tungewageuza punching bag.
Sasa mimi na wewe tukienda FIFA ndipo utapojua yupi alikuwa sahihi.

Ila kaka tuwe pamoja mpaka mwisho ,uzalendo uzalendo.
 
kinachonisikitisha wachezaji hawajachangamka kabisa yaani!
 
Ni over confidence au uoga?
Ni ukosefu wa match fitness na sharpness iliyosababishwa na kutocheza mchezo wowote wa kiushindani ndani ya wiki 2.

Tumepoteza ile momentum nzuri tuliyokuwa nayo baada ya kushinda mechi 3 ndani ya siku 7 huko kanda ya ziwa.

Wachezaji wako slow hadi kiakili wanachelewa kureact kwenye kila kitu.
 
Ukisema hivyo kuna watu watakuja kumtetea kwa kusema Mugalu ni "Mshambuliaji mkabaji",ila kiuhalisia jamaa ni garasa haswa kwenye mechi kubwa za kimashindano.
Liability huyu hana maana kbs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…