NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Kwanza Simba wapate hata goli moja ama mbili hivi ili kubalance presha game ya home kwenye agligate.Hao wakija kwa mkapa tunawachapa 4
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanza Simba wapate hata goli moja ama mbili hivi ili kubalance presha game ya home kwenye agligate.Hao wakija kwa mkapa tunawachapa 4
KbcHakuna channel yoyote inayorusha hii game? Maana DStv nimesearch mpka nimechoka Sasa.
Sasa mimi na wewe tukienda FIFA ndipo utapojua yupi alikuwa sahihi.Ushaambiwa game saa moja ukawahi ili upate sababu ya kukimbia, mna bahati tungewageuza punching bag.
Ndio issue ya Msingi.Tupate goli la ugenini
Mzamiru.Tunaweza kula khamsa hapa hii safu ya beki ikiendelea kulala
Kocha amtoe kiungo mkabaji mmoja aweke kiungo mshambuliaji
Huwa nasema sana kuhusu Mgaru ila nashambuliwa sana.Ngoja atoke uone magori ya mvua.Huyu Mugalu ni maku sana hana msaada kwa timu. Sijui wanabemendana na kocha
Ukisema hivyo kuna watu watakuja kumtetea kwa kusema Mugalu ni "Mshambuliaji mkabaji",ila kiuhalisia jamaa ni garasa haswa kwenye mechi kubwa za kimashindano.Huyu Mugalu ni maku sana hana msaada kwa timu. Sijui wanabemendana na kocha
Emdlalweni wanamuhla ama Simba ashaya amagoli anele.Kwa Kizulu tano wanaita kuhlanu🤣
Ni ukosefu wa match fitness na sharpness iliyosababishwa na kutocheza mchezo wowote wa kiushindani ndani ya wiki 2.Ni over confidence au uoga?
Liability huyu hana maana kbsUkisema hivyo kuna watu watakuja kumtetea kwa kusema Mugalu ni "Mshambuliaji mkabaji",ila kiuhalisia jamaa ni garasa haswa kwenye mechi kubwa za kimashindano.
Morison ingekuwa poa zaidiMzamiru.
Kumbe mpira wenu mnauchezea FIFA siku hizi, ndio maana leo Namungo kawatoa ulimi nje.Sasa mimi na wewe tukienda FIFA ndipo utapojua yupi alikuwa sahihi.
Ila kaka tuwe pamoja mpaka mwisho ,uzalendo uzalendo.
Ahahaha [emoji1][emoji1][emoji1] Wachambuzi takatakaa tutawafurahishaaa...suala la muda tuuSijui Shafie ana furaha ya aina gani huko aliko!
Mtawakumbuka mpaka kina Ulimboka leoMorison ingekuwa poa zaidi

utaiona tuu