FT: Kaizer Chiefs 4-0 Simba SC | Klabu Bingwa Afrika CAFCL | FNB Stadium

FT: Kaizer Chiefs 4-0 Simba SC | Klabu Bingwa Afrika CAFCL | FNB Stadium

Wazee wa Total War,Do or Die,wazee wa WIDA 😀😀😀😀😀 na hapo wamecheza bila mashabiki ,je wangekuwa na mashabiki wao sijui ingekuwaje na hapo ndio hawapo vizuri.


Jamani tuwe wazalendo tubaki kwenye viti vyetu mpaka dk ya mwisho.
 
Kapombe kapombe kapombe

Nimeita mara tatu
 
We umekimbia taifa juzi tulia.
Nani kamkimbia mwenzie,mimi nilifika saa kumi na moja wewe ulikiwepo wapi.

Narudia tena jamani uzalendo uzalendo uzalendo muhim sana,tuwe pamoja mpaka dk ya mwisho msinyanyuke kwenye viti.
 
Simba ikileta utani kadi nyekundu itahusika na goli zaidi ya 3

Pass accuracy ya Simba ni olmost zero,beki haieleweki na washambuliaji hawana mbinu mpya wala utulivu pale mbele

Sasa wenzenu ni wazuri kwenye kaunta ataki na mipira ya Juu
 
Back
Top Bottom