Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 9,034
- 6,913
Maajabu ndio hayo mumechezea..endeleeni na biriani ya Idd huku wenzenu wanatupia nyavuniinashangaza kwa nini wakati Kaizer haina maajabu yeyote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maajabu ndio hayo mumechezea..endeleeni na biriani ya Idd huku wenzenu wanatupia nyavuniinashangaza kwa nini wakati Kaizer haina maajabu yeyote
Subra yavuta kheri mkuuHaa bola nikalale zangu tu.
Muda wa kulala bado.Haa bola nikalale zangu tu.
Hao wakija kwa mkapa tunawachapa 4Kaizer wanaingia nusu haya magoli ni mengi
Haa bola nikalale zangu tu.
Mpira wa simba ambayo tunaijua upo kipindi cha pili
Bora wewe mkuu.aisee bora siangalii hii mechi!!
La wazi kabisa.Chama kapoteza nafasi adimu