kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,695
- 20,633
Mbili mbona chacheLeo inaweza kuwa Kaizer CF 2=0 Simba au KC 2=1 Simba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbili mbona chacheLeo inaweza kuwa Kaizer CF 2=0 Simba au KC 2=1 Simba
Wakawaida acha uongoJamaa ni wa kawaida sana. Hili goli la mapema litatuletea shida
Acha uongo mkuuKaizer wametepeta. wapi Konde boy
Imetawala vipi mkuuSimba imetawala game
Wanarudishaje?Hili goli Simba watarudisha.
Possession inasaidia nini?Simba possession 68%
Ulitaka yaweje?Magoli yale yale Kapombe hayupo
Simba ina maajabu?inashangaza kwa nini wakati Kaizer haina maajabu yeyote
Wewe mchawimtu atakufa nne akiendelea kuzubaa hapa
Ngoja tusubiri kipindi cha piliMpira wa simba ambayo tunaijua upo kipindi cha pili
Mkipata mimi nakunyaTupate goli la ugenini
Onyango nguli hayupo?Daah. beki wanatuangusha sana
Mtushukuru hata kwa hilo la kuwapa msaada na nyinyi mkaonekane kimataifa.Ndege sio kitu kigeni kwetu hata hayati pepe kalle anajua!Nyie ya ndege ndiyo Mashkolo mageni mkuu!
Aliiba gari hawezi kwenda SouthMorison ingekuwa poa zaidi
[emoji23][emoji23][emoji23]mkipata mimi nakunya
NasubiriMagoli yanarudi. Subiri
Angalia usije kukalia kitu chenye nchaNimeacha kutazama game labda mimi ndio nimekalia goli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kaizer Chiefs, kama tulivyo kubaliana! msiniangushe! Maana huu mpira hautaki hasira. Kama Prisons wameweza, nyinyi mshindwe mna nini?
Piga hao mikia fc!!
Simbe imeshinda kwa -4 kwa bilaMechi ya leo simba anashinda ila idadi ya goli nitakuja kuiweka baadae