FT: Kaizer Chiefs 4-0 Simba SC | Klabu Bingwa Afrika CAFCL | FNB Stadium

FT: Kaizer Chiefs 4-0 Simba SC | Klabu Bingwa Afrika CAFCL | FNB Stadium

Simba ya kupigwa ile chuma ya kwanza tu..ilibidi waswitch game plan.

Ilitosha kuwa alert kwao. Nadhani waliwachukulia poa wa machifu.
 
FIFA ndio wenye mpira wao ile kesi ikifika mezani kwao nachukua point 3 na TFF inakula fine.

Halafu nimekumbuka hivi ile barua yenu aliyoipost manara anaipeleka FIFA miaka mitatu ya nyuma ili wapate points za huruma ilishia wapi.

NB.
Nasisitiza uzalendo uzalendo uzalendo,tukae mpaka mwisho,tupo pamoja mtani.
Nyie kesi yenu na Morison cas imefikia wwapi
 
Uchawi
 
Sawa,ila msaada tuliowapa nyinyi watani ni mkubwa,tumepambana kufa na kupona ili na nyinyi mpande ndege.
Ndege sio kitu kigeni kwetu hata hayati pepe kalle anajua! Nyie ya ndege ndiyo Mashkolo mageni mkuu!
 
Back
Top Bottom