Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Leo tumefungwa tukubali. Ila tutakuwa tumepata funzo la kuto kujiamini kupitiliza na kuheshimu mpinzani hasa ukiwa ugenini.
Haya yote ndio yaliyotuponza. Pia tumekuwa exposed kwenye eneo la ku deal na cross. Hapa kocha afanyie kazi maana team nyingine zitakuwa zimeona udhaifu ambao ulijificha ila umefichuliwa leo.
All in all Simba bado tuko vizuri. Tukutane kwa mkapa.